Nahitaji kununua Pingu, wapi nitazipata

Nahitaji kununua Pingu, wapi nitazipata

Nenda duka la siraha pale Tanganyika Army pale station karibu na central polisi wanauza 80,000 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umeendana na uzi..SAFI Sana. ..Pingu inamilikiwa kama kaqaida..NENDA TANGANYIKA AMY..FUATA TARATIBU UTAUZIWA PINGU...

PINGU NI SAWA NA KAMBA AU KUDU YAKUWEZA KUMFUNGA MHALIFU...

Iweje mtu amiliki bastola inayoweza kuuwa..ashindwe kumiliki PINGU..?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?

[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!

eba016cfa2dab9dde8218c8a7c2de56e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza nn
 
Nenda Gerezani hata ukitaka na spea za vifaru utazipata huko

Sent from Calculator Phone vesion007
 
kaulizie pale lugalo jeshini nadhani utapata bure tu!!!
 
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?

[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!

eba016cfa2dab9dde8218c8a7c2de56e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

Ninakushauri uende kituo chochote cha Polisi uombe kumiliki kifaa hicho, kumbuka kwamba ni lazima watakuuliza unataka uzifanyie nini? kama wataridhika watakwambia ni sehemu au wapi unaweza kuzipata. Pia nakushauri umuuliza Mwimbaji wa Injili Upendo Nkoni nilimuona wakati anaimba kwaya alikuwa anazitumia.
 
Mtu anapoomba ushauri wa jambo fulani kama huna jibu mwambie kuwa huna jibu au kaa kimya, Ni upuuzi kutoa majibu ya kuudhi au ya kebehi, tuwe wastaarabu japo kidigo.
Aisee naona unapangia watu cha kupost...Sijamkebehi wala kumuudhi yeye mwenyewe anajua

anyways ushauri wako mzuri

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom