Nahitaji kulewa

Kumbuka haiuzwi kwas wenye umri chini ya miaka 18...Kama hujawahi kabisaaaaa....anza tu na Vi Redds viwili vya chupa. Au kama vipi nikuletee ulanzi toka kwetu Makete?
 
Pata glass 2 ya maziwa fresh kama stater ,then pata Captain Morgan glass 2 au 3 ukiwa na ice cubes kuweka ubaridi, , , ukipenda zaid una2mbukiza malimao mumo humo ,bila kusahau matango ya kukurehydrate. . . .unipatie feedbak tabasamu
 
Sijawai kudrink
but leo naitaji kulewa ili nilale fofofo
kwa wale wadau pombe ipi ni nzuri?

mi naona una mechi ya ugenini leo si bure kwahiyo unatafuta nishai haiwezekani ikawa nia ni kulala fofofoo kana nia ni usingizi meza kuna dawa za usingizi meza valiam
 

smile huu ushauri mzuri sana kwa wewe lena.....

sakapal waonekana mzoefu.... ntakutafuta na mimi nipate ushauri wa kuzipunguza maana zikikolea sitaki kuacha kama ile kitu inginee
 
Sijawai kudrink
but leo naitaji kulewa ili nilale fofofo
kwa wale wadau pombe ipi ni nzuri?

Nani alikudanganya ukilewa ndio unalala fofofo? sema unataka kujaribu kuwachia nanihii tu halafu uisingizie pombe, husemi kweli tu.
 
Hahahah haya bana ila amarula humtakii mema Smile shosti we piga ile grants ndogo utaleta majibu, bt kwani bado hujaanza kupiga tu ?
from experience Grants ngumu ww. . . .basi achanganye na Amarula.
 
Last edited by a moderator:
tangu nijifunze kunywa mpaka leo,sijaiona raha ya pombe.uchungu nauona uko pale pale.nikiinywa mpaka nizibe pua,haina starehe yoyote ile.uzuri wake,nikijinywea ndani,inanipa usingizi fofofo
 
Kama wewe ni mlipa kodi mzuri VAT69 itakufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…