Nahitaji kulewa

Nahitaji kulewa

Jamani kijana wetu kaomba ushauri, lengo ni alewe sasa unapomweleza mambo mengine unamaanisha nini? FANYA HIVI DOGO ANZA NA KIROBA 1 CHA KONYAGI, PIGA SAFARI 3 ZA MOTO, ONGEZA KIROBA 1, PIGA SUPU YA MKIA, PUMZIKA KIDOGO, WEKA MAJI BARIDI BUGIA, PANDISHA KIROBA CHA MWISHO, MALIZIA NA SAFARI 1 TU YA MOTO THEN RUDI NYUMBANI KWA BODA BODA NA UIENDESHE WEWE MWENYEWE NA KWA KUWA UTAKUWA UMECHOKA MEZA VIDONGE 2 VYA FLAGYL ILI KUPUNGUZA UCHOVU HAKIKA UTALALA FOFOFOFOFOFOOOOOOOOO.
 
KAGOTA. KAmpuni ya GOngo TAnzania. Nenda kwao waambie wakupimie ya buku tu, matatizo yako yataisha.
 
Mi nachokushauri kijana acha kuwa na mtazamo hasi kwamba kulewa ni ujanja,futa kabisa hayo mawazo ila jaribu kujishughulisha na mambo mengine ya muhimu ili uweze kuondoa hayo mawazo ,najua nia yako ni kulalafofo ebu jaribu kufanya mazoezi pale ambapo huna jazi za kufanya au umemaliza kazi zako ili ufanye mwili uchoke hapo utaweza kulala usingizi bila mawazo yoyote, nakupa angalizo kuwa pombe ni hatari kama utaitumia vibaya au kunywa kwa kupita kiasi hata hivyo wanasema watatumia kwa kiasi kidogo uishia kuwa walevi wa kupindukia, hivyo achana na mawazo kama ayo kama unatambua hanghover za pombe jaribu uone huto acha kamwe.
 
Jamani kijana wetu kaomba ushauri, lengo ni alewe sasa unapomweleza mambo mengine unamaanisha nini? FANYA HIVI DOGO ANZA NA KIROBA 1 CHA KONYAGI, PIGA SAFARI 3 ZA MOTO, ONGEZA KIROBA 1, PIGA SUPU YA MKIA, PUMZIKA KIDOGO, WEKA MAJI BARIDI BUGIA, PANDISHA KIROBA CHA MWISHO, MALIZIA NA SAFARI 1 TU YA MOTO THEN RUDI NYUMBANI KWA BODA BODA NA UIENDESHE WEWE MWENYEWE NA KWA KUWA UTAKUWA UMECHOKA MEZA VIDONGE 2 VYA FLAGYL ILI KUPUNGUZA UCHOVU HAKIKA UTALALA FOFOFOFOFOFOOOOOOOOO.

Acha ujinga wewe ss bado 2namuhitaji JF.
 
Back
Top Bottom