anza na redds,mbili za baridi ila uzinywe taratibu kama hutaki au kama umeshiba
kisha malizia na wine, red sweet wine pia iwe ya baridi au weka ice cubes. U can use dompo au altar, hope u'll enjoy. This is according to me usianze na vinywaji vikali hivi vitakupa raha flani ya utamu wakati unakunywa hasa kama hujazoea ladha ya uchungu ya pombe. Ila andaa supu ya nyama au samaki asubuhi.
Wine waweza kunywa nusu chupa au glass 3 tuu za wine baada ya hapo utakuwa byee au waweza hata usizimalize.
Usiache kutupa feedback, have a nice time na enjoy!!!!