Swala sio kunyanyua kinu na kuweka kwenye base yake tu! Swala ni mpaka hiyo Crane ifike hapo tayari ishatumia mafuta kama ya laki mbili na kurudi mafuta kama ya laki mbili. Bado service charge. So wewe umejipangaje? Una sh ngapi?
NB:
Tafuta matrafic hapo kabiru wanawajua watu wa crane. Maana ajali zikitokeaga utaona kuna crane maeneo ya karibu kwa ajili ya kunyanyau...
Weka namba.
PmWeka namba.
Kuna jamaa yangu anakodisha mitambo ila hayuko JF,kesho nitakuunganisha nae kama utakuwa bado haujafanikiwaYes, kinu kipo Lugoba kabla hujafika Msata ni kijiji cha mazizi mkuu.
Unayo crane tufanye kazi...?
Nenda Wazo hill pale STI siku hizi wanaita Wazo Engineering.Ni kweli unachosema mkuu. Ila ni vizuri mtu akasema bei ili nijue kama naweza ku-afford au la. Nikisema mie nitaje bei yangu naweza nikataja bei ndogo halaf ikaonekana ndivyo sivyo mkuu.
Ooh Okay, nimekupata vyema mkuu. Thanks a lot bro.
Mkonga wake mfupi lile la DelinaKuna sehem kibaha ipo...maeneo ya tanita!
Yap...halitafaa??Mkonga wake mfupi lile la Delina
Kama ni kunyanyua zaidi ya mita 30 halifai na lile halina balancing weight kwa nyumaYap...halitafaa??
NimekupmHabari wakuu.
Naulizia yoyote mwenye crane ya kukodi nahitaji kuna kazi ya kunyanyua kinu na kuweka kwenye base yake tu basi, ni crusher site.
Kama upo nayo au unamfahamu mtu mwenye nayo naomba uniunganishe nae please. Eneo la kazi ni Msata.
Ahsante.
Lile linafaa sana kwa ishu za breakdown na kushusha mizigo mizito kwenye containersHaya mkuu,....