Nahitaji kukodi Crane ya tani 16

Nahitaji kukodi Crane ya tani 16

Vyuma hivyo hapo , heavy wheight
IMG_20191230_083859_1.jpg
 
Kazi kazi ,tuwasiliane Kama kazi yako bado hujafanya
0755404226
IMG_20201107_145540_3.jpg
 
Hii karasha maeneo ya msata ,
Ushauri wangu unganisha kazi zote za crean ukikodi ufanye kwa siku moja kuokoa gharama .maana Kama site ya ipo mbali lazima ugaramie lowbed
IMG_20200717_180045_5.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom