Kuwa Hacker kuna characteristic moja unatakiwa kuwa nayo ambayo hakuna mtu atakufundisha,na huwa ipo natural(inborn) kwa mtu, "unatakiwa upenda unachofanya" na hii sio kwa computers tu,bali kwa kila jambo.Kama una passion na kitu fulani na hiyo passion ni strong enough kukufanya usome na ujifunze to the point kwamba unaweza fanya icho kitu instinctively,basi that's hacking.
Hacking ni pale ambapo unajikuta upeo wako wakufikiri umebadilika(umeongezeka) unconsciously,actually it means different things in different fields,Kwa computers means kukesha usiku wa manane kujifunza na kufikirisha ubongo wako to the maximum level,kuchecki error report zinazokutia kizunguzungu,unaandika na kuandika na kuandika codes,debugging codes zako tena na tena na tena mpaka pale zitapofanya utakacho,, wakati huo kuna party ambayo wadau wako wote wameenda kujirusha ulitakiwa ku attend,Passion ni pale ambapo unajua kabisa codes zako blanda kibao lakini hauchoki kutafuta perfection ya hizo codes.
Kama hauna Passion hiyo kwa computers,HAUTAKUJA KUWA HACKER,never ever!unaweza kuwa Programmer,Computer Scientist,mkali katika field ya IT ila sio hacker.
Kama una Passion,unaweza kua ila sio kazi rahisi ya kulala somebody na kuamka hacker,ili uwe hacker unatakiwa uwe na mindset ya hacker,fikiri kama hacker,katika daily life yetu kuna kila aina ya problems to be solved with hacker's mindset,Hacking sio tu kuhusu kuka mbele ya computer na kutype codes kwa terminal,kuwa hacker unatakiwa uwe logic.Tumia logic na ingenuity kusolve matatizo yako ya kila siku,Fikirisha ubongo wako.
Technically,unapaswa kujua yafatayo ili uwe Computer System Security Guru(ethical hacker(pen tester[white hat]){kuwa black,grey or white is upto wewe,NB:-Kama wataka kuwa Black,andaa na mwanasheria mzuri,itakusaidia baadae 😀})
Unatakiwa ujue jinsi Computer Zinavyofanya kazi,Chukulia mfano mtu anayejua jinsi system nzima ya gari ilivyo,jinsi inavyofanya kazi,jinsi engine ilivyotengenezwa na jinsi kazi yake katika gari,mechanism ya gari inavyotembe nk nk,mtu huyu anaweza fanya lolote ilo gari,hata akitaka igeuza kuwa something else anaweza sababu anaijua gari inside out!Hivyo ndivyo Hacker anavotakiwa kuwa,unatakiwa ujue computer system buu baa,,sio lazima uwe expect wa kila kitu ila atleast ujue kila kitu kifanyavo kazi from ,Jinsi inavyo proccess data,inavo store Peripherals and Communication,OSes,Jinsi Operating Systems zinavo interact na hardware,Networkingnk nk nk!Kumbuka,sio lazima uwe expect wa kila kila ila unatakiwa ujue kila kitu,yani kila kitu.
NOTE:Sijakwambia ujifunze programming language,wala ujifunze wireshark inavyofanya kazi wala blah blah nyingine,sababu along the way kujifunza kwako computer system,utakutana na programming na makablasha mengine.
Kama umeiva vilivo,kuhusu computer systems,usingeuliza swali hili,so na assume we ni beginner,Learn it,Build it,Break it!sio swala la leo na kesho.