ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
subiri muda ukifika k
subiri muda ukifika kila kitu kitakuwa hewani .Ada yake bei gani nijipange
subiri muda ukifika kila kitu kitakuwa hewani .Ada yake bei gani nijipange
kuna process tano. 1.footprinting au inaitwa social engineering. 2. inaitwa Scanning. 3. vulneri.bility 4. penetration 5. Hacking. hizi mbili za mwisho, siyo ethical.Ni kweli kila mtu anaweza kujifunza kuhack, lakini si kila mtu anaweza kuwa hacker!
Si kweli hacking ni illegal,bila hackers kusingekua na internet,world wide web isingefanya kazi,Unix system isingefika hapa ilipo nk nk!utasemaje hacking ni illegal?ni sawa na kusema kuendesha gari ni illegal,ni illegal pale tu utapokeuka sheria za barabarani,yaani ni illegal kuvunja sheria za barabarani na sio kuendesha gari!
People should learn to understand this aisee!
Aisee!hapa umemaanisha nini exactly?
time ikifika nitakutafuta humu jf. wewe nibox contacts zako.How to contact you sio muda wote ntakuwa jf ,kama unaweza ingia whatsapp tuchat pls
Soma vipo vitabu acha uvivuTujaribu kukimbizana na Dunia nahitaji kuwa hacker naomba uzi huu utumike kunifundisha ili niwe hacker,kwa kuanza nataka nianze kwa kuwa simple hacker nahack vitu vidogo vidogo kama account ya mtu insta,na vitu vingine vidogo vidogo
Mahitaji yake ni nini? Najua google masomo kama haya yapo ila uelewa nao unachangia inabidi uwe mjuzi kidogo na lugha pia!
Najua hapa kuna Mahacker wazuri tuu
Karibuni
Aisee!!!kumbe hizi ndo process tano!ebwana eeh!Mkuu ndo unajipanga kufundisha kabisa!???Aiseee!kwaio hizi mbili 'Penetration na Hacking' ndo sio ethical sio!aisee!nilikua sijui kabisaa yani kuhusu hizi process,na sidhani hata kama kuna mtu yeyote kwenye community nzima anajua hili!Naomba niishie hapa tu aisee!Kila la heri mkuu katika ufundishaji wako.kuna process tano. 1.footprinting au inaitwa social engineering. 2. inaitwa Scanning. 3. vulneri.bility 4. penetration 5. Hacking. hizi mbili za mwisho, siyo ethical.
Nauliza tu.., hacker ni kwa watu wa IT tu au?
Na je kwa umri flani tu?
Na je naweza mwajiri hacker kama security experts kwenye code zangu?
Najibu tu..,Hacking si kwa watu wa IT tu but ni lazima uwe na some IT knowledge ili ujue kuhack!(assuming swali lako limelenga watu ambao hawapo related na Tech field)Nauliza tu.., hacker ni kwa watu wa IT tu au?
Na je kwa umri flani tu?
Na je naweza mwajiri hacker kama security experts kwenye code zangu?
Duh, yaani umekaa ukawaza kuwa hacking ni illegal!? Au umekaririshwa kuwa hacking ni illegal!? Pole sana mkuuDuh haya bwana naona nmekukaa sana kichwani, all in all jamani watu mnaotaka kuwa hackers a.ka. wadukuaji, it is illegal kufanya hivi vitendo na wala siwapotoshi maana sheria za cyber crime zipo mwaweza kuzipitia
Kuna hatua tano za hackingHacking ni knowledge ambayo mtu yoyote anaweza kujifunza awe tu na Basics knowledge ya computer hardware, Compter networking na Web component development ,pia awe na basics knowlege jinsi Operating systems zinavyofanya kazi,esp. Window na linux . lakini kisheria duniani Hacking ni illegal activities , isipokuwa mtu yoyote anayetaka kujifunza hacking kisheria, anaitwa Ethical hacker ,nchi za wenzetu Mtu yoyote anayetaka kujifunza Ethical hacking lazima .awe screened. Na chuo kinachofundisha lazima kipewe kibari na serikali ili hiyo kozi iweze kufundishwa na chuo hicho . kuna process tano kwenye Hacking process. Kisheria Mwanafunzi anayetaka kujifunza Ethical hacking anafundishwa process tatu tu. hizo mbili zilizoback haurusiwi kisheria. utakapojifunza hizo mbili utakuwa sasa wewe siyo ethical hacker,Na makampuni mengi wanapotatafuta mtu wa kumuajili kama hacker. wanaaminisha wanamtafuta Ethical hacker huyu muda mwingine anaitwa WHITE HACKER .MiMi ni mwalimu wa Ethical Hacking, naweza kukufundishaTools zote na Technics zote za Ethical Hacking. Nipo mbioni kufungua Chuo hapa Dar es salaam. ambacho kitashirikiana na chuo kimojawapo cha marekani nipo kwenye hatua za mwisho ,international procedures tayari nimezimaliza ,kwa sasa natafuta kibari wizara ya mambo ya Ndani, ndiyo nachelewa kukipata. hiki chuo kitakuwa pia ni prometric centre ya Ethical hacker certification . Mwanafuzi atayesoma hapa atapata international Certification.
A hat is a hat don't forget, ONLY BLACK is not a Chamelion.Kuna hatua tano za hacking
1.Reconnaissance
2.Scanning and Enumeration
3.Gaining Access
4.Maintaining Access
5. Covering tracks (Hiding digital Footprints)
From EC-Council, official course ya CEH blueprint.
1.Ni stage gani ambazo White Hat Hacker hafundishwi kati ya hizo??
2. Huoni Black Hats watakuwa na advantage over you (White Hat), kama unapewa knowledge nusu nusu??
Mtazamo wangu "If you want to be the best white hat think like a black hat".