Nahitaji kujua nini ili niwe Hacker?

Nahitaji kujua nini ili niwe Hacker?

Kwa mawazo hayo unakaribia kushitakiwa na jamuhuri ya muungano wa tanzania kwa sera yao mpya ya sheria ya mitandao.. (cyber crime)
 
Hizo terms hazifanani jombaa usiweke slash / maana hack ni verb hacker ni mtendaji na hacking ni process ya kudukua

Nimeandika vile sababu kwenye post yako ulitumia terms zote,na kiujumla hazikua sahihi ni real life perspectives!kumbuka movie ni movie na sidhani kama mleta mada anataka kuwa 'hacker kama wa kwenye movie'.

Pale hollywood wanasemaga the Rule of Cool must always overwrite reality hii hutumika kuongeza mauzo ya tickets na ndo hapo hata ile movie ya master minds hacking ikageuka kuwa some sort of game !! Seriously mtu aliekuwa na ndoto za hacking angefikiri ni kazi rahisi na hasa pale wanapohack kwa kutumia os zenye 3d GUI kama ile ya windows vista flip 3d
Nashindwa kurelate hii statement yako na dhana nzima ya Kuhack,yani ukiwa unaswitch between zile virtual 3d open windows ndo unakuwa unahack ama nini?

Ndo maana nikakuuliza unajua nini kuhusu hacking,sina maana mbaya na pia sina maana unatakiwa uwe hacking guru kunijibu hili swali,inawezekana unaitaji kujuzwa kama mleta mada na sio kujuza!
 
Kwa mawazo hayo unakaribia kushitakiwa na jamuhuri ya muungano wa tanzania kwa sera yao mpya ya sheria ya mitandao.. (cyber crime)
Kuna utofauti mkubwa kati ya Cracker na Hacker,,Mleta mada anaitaji kujuzwa jinsi ya kua hacker na sio cracker
 
Nimeandika vile sababu kwenye post yako ulitumia terms zote,na kiujumla hazikua sahihi ni real life perspectives!kumbuka movie ni movie na sidhani kama mleta mada anataka kuwa 'hacker kama wa kwenye movie'.

Nashindwa kurelate hii statement yako na dhana nzima ya Kuhack,yani ukiwa unaswitch between zile virtual 3d open windows ndo unakuwa unahack ama nini?

Ndo maana nikakuuliza unajua nini kuhusu hacking,sina maana mbaya na pia sina maana unatakiwa uwe hackin guru kunijibu hili swali,inawezekana unaitaji kujuzwa kama mleta mada na sio kujuza!
Duh haya bwana naona nmekukaa sana kichwani, all in all jamani watu mnaotaka kuwa hackers a.ka. wadukuaji, it is illegal kufanya hivi vitendo na wala siwapotoshi maana sheria za cyber crime zipo mwaweza kuzipitia
 
Umepotosha dhana nzima ya terms "Hack/Hacker/Hacking"!

Labda nikuulize,unaelewa nini kuhusu Hacking??,na unamaanisha nini uliposema "3d GUI interference"
Acha kudanganya hack anatumia week? anajifunzia hapo au anafanyaje? wapo ma master wa kuhack haichukui dk 15 kumaliza kazi kawadanganye watoto wadogo eti dk 15 teh teh
 
Kuna vitu hadi Leo watu wanaumiza vichwa kuvihack, wiki na miezi imepita, mpaka Leo watu wanatafuta njia ya kuhack system ya kuexploit system za betting, mfano meridian betting
 
Duh haya bwana naona nmekukaa sana kichwani, all in all jamani watu mnaotaka kuwa hackers a.ka. wadukuaji, it is illegal kufanya hivi vitendo na wala siwapotoshi maana sheria za cyber crime zipo mwaweza kuzipitia
Unamaanisha nini kusema umenikaa sana kichwani?
Umenielewa vibaya,sijamaanisha kwamba maelezo yako yapo sahihi ivo unapotosha kwakusema ukweli,lahasha!namaanisha maelezo yako si yakweli,hayana mantiki na hayapo ni real life,hakuna hacker anayehack on 3d gui environment,infact 3d environment kwa windows os utakutanayoo kwenye kuswitch open windows, kwenye specific softwares,kama 3d softwares,game engines na all related stuffs kuhusu 3d environment and not other wise,labda itokee mtu atengeneze 3d terminal environment (sijui hata atakua anataka kuarchive nini)😀!
Pili hacking is not illegal,narudia hacking is not illegal!hacking without authorization ndio illegal,this is another topic kabisa!
 
Acha kudanganya hack anatumia week? anajifunzia hapo au anafanyaje? wapo ma master wa kuhack haichukui dk 15 kumaliza kazi kawadanganye watoto wadogo eti dk 15 teh teh
Sijakuelewa kabisa,unamaanisha nini,?"hack anatumia week?" ndo nini,nimeandika wapi?umeona wapi nimeandika ivo vitu hapo juu?yani sijakuelewa kabisa!wapi nimeongelea kuhusu dk 15????
 
Hacking ni knowledge ambayo mtu yoyote anaweza kujifunza awe tu na Basics knowledge ya computer hardware, Compter networking na Web component development ,pia awe na basics knowlege jinsi Operating systems zinavyofanya kazi,esp. Window na linux . lakini kisheria duniani Hacking ni illegal activities , isipokuwa mtu yoyote anayetaka kujifunza hacking kisheria, anaitwa Ethical hacker ,nchi za wenzetu Mtu yoyote anayetaka kujifunza Ethical hacking lazima .awe screened. Na chuo kinachofundisha lazima kipewe kibari na serikali ili hiyo kozi iweze kufundishwa na chuo hicho . kuna process tano kwenye Hacking process. Kisheria Mwanafunzi anayetaka kujifunza Ethical hacking anafundishwa process tatu tu. hizo mbili zilizoback haurusiwi kisheria. utakapojifunza hizo mbili utakuwa sasa wewe siyo ethical hacker,Na makampuni mengi wanapotatafuta mtu wa kumuajili kama hacker. wanaaminisha wanamtafuta Ethical hacker huyu muda mwingine anaitwa WHITE HACKER .MiMi ni mwalimu wa Ethical Hacking, naweza kukufundishaTools zote na Technics zote za Ethical Hacking. Nipo mbioni kufungua Chuo hapa Dar es salaam. ambacho kitashirikiana na chuo kimojawapo cha marekani nipo kwenye hatua za mwisho ,international procedures tayari nimezimaliza ,kwa sasa natafuta kibari wizara ya mambo ya Ndani, ndiyo nachelewa kukipata. hiki chuo kitakuwa pia ni prometric centre ya Ethical hacker certification . Mwanafuzi atayesoma hapa atapata international Certification.
 
Unamaanisha nini kusema umenikaa sana kichwani?
Umenielewa vibaya,sijamaanisha kwamba maelezo yako yapo sahihi ivo unapotosha kwakusema ukweli,lahasha!namaanisha maelezo yako si yakweli,hayana mantiki na hayapo ni real life,hakuna hacker anayehack on 3d gui environment
Na ndio maana nlicomment kwamba hao hackers wa movie sometimes wanaongeza chumvi, kuna muvi nmesahau kina kuna hacker aliekuwa anafanya SQL injection kwa kutumia ready made app kwenye 3d GUI,

Hacking ina ethical na unethical hacking, so kiujumla hacking ni illegal when unethical na legal when ethical so inathibitika wazi kabisa hacking sio legal when unethical narudia tena hacking unaweza kuwa illegal na legal na sio 100% legal ama illegal
 
Hacking ni knowledge ambayo mtu yoyote anaweza kujifunza awe tu na Basics knowledge ya computer hardware, Compter networking na Web component development ,pia awe na basics knowlege jinsi Operating systems zinavyofanya kazi,esp. Window na linux . lakini kisheria duniani Hacking ni illegal activities , isipokuwa mtu yoyote anayetaka kujifunza hacking kisheria, anaitwa Ethical hacker ,nchi za wenzetu Mtu yoyote anayetaka kujifunza Ethical hacking lazima .awe screened. Na chuo kinachofundisha lazima kipewe kibari na serikali ili hiyo kozi iweze kufundishwa na chuo hicho . kuna process tano kwenye Hacking process. Kisheria Mwanafunzi anayetaka kujifunza Ethical hacking anafundishwa process tatu tu. hizo mbili zilizoback haurusiwi kisheria. utakapojifunza hizo mbili utakuwa sasa wewe siyo ethical hacker,Na makampuni mengi wanapotatafuta mtu wa kumuajili kama hacker. wanaaminisha wanamtafuta Ethical hacker huyu muda mwingine anaitwa WHITE HACKER .MiMi ni mwalimu wa Ethical Hacking, naweza kukufundishaTools zote na Technics zote za Ethical Hacking. Nipo mbioni kufungua Chuo hapa Dar es salaam. ambacho kitashirikiana na chuo kimojawapo cha marekani nipo kwenye hatua za mwisho ,international procedures tayari nimezimaliza ,kwa sasa natafuta kibari wizara ya mambo ya Ndani, ndiyo nachelewa kukipata. hiki chuo kitakuwa pia ni prometric centre ya Ethical hacker certification . Mwanafuzi atayesoma hapa atapata international Certification.
Ni kweli kila mtu anaweza kujifunza kuhack, lakini si kila mtu anaweza kuwa hacker!
Si kweli hacking ni illegal,bila hackers kusingekua na internet,world wide web isingefanya kazi,Unix system isingefika hapa ilipo nk nk!utasemaje hacking ni illegal?ni sawa na kusema kuendesha gari ni illegal,ni illegal pale tu utapokeuka sheria za barabarani,yaani ni illegal kuvunja sheria za barabarani na sio kuendesha gari!
People should learn to understand this aisee!

kuna process tano kwenye Hacking process. Kisheria Mwanafunzi anayetaka kujifunza Ethical hacking anafundishwa process tatu tu. hizo mbili zilizoback haurusiwi kisheria. utakapojifunza hizo mbili utakuwa sasa wewe siyo ethical hacker,Na makampuni mengi wanapotatafuta mtu wa kumuajili kama hacker. wanaaminisha wanamtafuta Ethical hacker
Aisee!hapa umemaanisha nini exactly?
 
Hacking ni knowledge ambayo mtu yoyote anaweza kujifunza awe tu na Basics knowledge ya computer hardware, Compter networking na Web component development ,pia awe na basics knowlege jinsi Operating systems zinavyofanya kazi,esp. Window na linux . lakini kisheria duniani Hacking ni illegal activities , isipokuwa mtu yoyote anayetaka kujifunza hacking kisheria, anaitwa Ethical hacker ,nchi za wenzetu Mtu yoyote anayetaka kujifunza Ethical hacking lazima .awe screened. Na chuo kinachofundisha lazima kipewe kibari na serikali ili hiyo kozi iweze kufundishwa na chuo hicho . kuna process tano kwenye Hacking process. Kisheria Mwanafunzi anayetaka kujifunza Ethical hacking anafundishwa process tatu tu. hizo mbili zilizoback haurusiwi kisheria. utakapojifunza hizo mbili utakuwa sasa wewe siyo ethical hacker,Na makampuni mengi wanapotatafuta mtu wa kumuajili kama hacker. wanaaminisha wanamtafuta Ethical hacker huyu muda mwingine anaitwa WHITE HACKER .MiMi ni mwalimu wa Ethical Hacking, naweza kukufundishaTools zote na Technics zote za Ethical Hacking. Nipo mbioni kufungua Chuo hapa Dar es salaam. ambacho kitashirikiana na chuo kimojawapo cha marekani nipo kwenye hatua za mwisho ,international procedures tayari nimezimaliza ,kwa sasa natafuta kibari wizara ya mambo ya Ndani, ndiyo nachelewa kukipata. hiki chuo kitakuwa pia ni prometric centre ya Ethical hacker certification . Mwanafuzi atayesoma hapa atapata international Certification.
Ada yake bei gani nijipange
 
Nataka niwe mwanafunzi wako wa kwanza, nijibu kwa email rabingowi@hotmail.com au 0767666690,napenda sana legal hacking so interesting pls reply to me
 
Hacking sio illegal ila ukiitumia kinyume ndio inakuwa illegal. Hackers wanaajiriwa na makampuni kama watu wengine, hackers ni kama mtu anayemiliki silaha kihalali kisheria lakini akiitumia kufanya uhalifu hapo ndio tatizo
 
Kuna vitu hadi Leo watu wanaumiza vichwa kuvihack, wiki na miezi imepita, mpaka Leo watu wanatafuta njia ya kuhack system ya kuexploit system za betting, mfano meridian betting
Inamaana hadi leo hamna aliofanikiwa kuhack system za betting.
 
Back
Top Bottom