- Thread starter
- #121
Umeona , jamaa upagani unamsumbuaAlafu we dogo hii tabia ya kuchafua daraja Takatifu kimizaha itakutokea puani. Fanya mizaha na issues zingine lakini si mambo ya Mungu. Ukiendelea na tabia hii ya kuchafua Upadre kihuni matokeo yake ipo siku utakutana na hasira za aliyeweka daraja hilo....