Nahitaji Kujiunga na upadre

Nahitaji Kujiunga na upadre

Kwa nn unapingana na wito wangu mkuu
Sababu ya approach yako....
Hivi umri huo kweli hujui uanzie wapi, hilo ni swala la kiroho zaidi, kwa nn usiende mshirikisha padre wa parokia yako......na ndo hatua muhimu.....
Jambo kama hilo liko too specific wala halihitaji kutua jina fake humu JF....
 
Kwani hta wao si wapo humu jukwaani ndo maana nikatumia hii njia
 
Kanisa ndo linaitwa au mtu ndo anaitwa??

Sijui hata nianzie wapi kukufundisha. Ili Mtu awe Padre ni lazima 1. Aitwe na Mungu 2. Akubalike na Kanisa 3. Akubalike na watu. Mojawapo likikosekana haiwezekani.

Wewe ndio unabatizwa lakini ubatizo sio wako.
 
Mbona vigezo hivyo nakidhi
 
Iv unajua nini maana ya Neno PADRI? Kumtumikia Mungu ni jambo zuri na bora lkn kwanjia unayotaka kupitia hata sikushauri, lkn kama utataka kupiga pesa nenda.
 
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Hakuna njia ya mkato, bila paroko wako kukomenti vitu Fulani hakuna shirika lile litakupokea
 
Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Nitumie ujumbe pm nikuelekeze ujiunge na Shirika la JESUITS
 
Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Nenda kwenye parukia iliyokaribu yako utapata muongozo
 
Sijui hata nianzie wapi kukufundisha. Ili Mtu awe Padre ni lazima 1. Aitwe na Mungu 2. Akubalike na Kanisa 3. Akubalike na watu. Mojawapo likikosekana haiwezekani.

Wewe ndio unabatizwa lakini ubatizo sio wako.
Pointi tupu hizo
 
Iv unajua nini maana ya Neno PADRI? Kumtumikia Mungu ni jambo zuri na bora lkn kwanjia unayotaka kupitia hata sikushauri, lkn kama utataka kupiga pesa nenda.
Mapadre hawapigi hela mkuu, hao wanaoanzisha makanisa yao ndo wanapiga hela
 
Aliye kudanganya ni nani huyo? Mapadre wanapiga hela mno na wanalipwa mishahara minono balaa.
Mapadre hawapigi hela mkuu, hao wanaoanzisha makanisa yao ndo wanapiga hela
 
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Muombe tu ila usijipendekeze hao ni watu hatari kwa watoto wa kiume..
 
Unafikiri upadri ni sawa na kujiunga na chama cha siasa. Kama hadi leo hufahamu shirika hata moja hufahamu hata jimbo lako.

Nkushauri kawe mlei tu, huo upadri waachie wenye wito sio wewe uliejiita
 
Back
Top Bottom