Ulisimamishwa huduma kwa ukengeufu nini?Nimeutumikia Upadri kwa takriban miaka 9 hakuna cha maana kule.
Ulisimamishwa huduma kwa ukengeufu nini?Nimeutumikia Upadri kwa takriban miaka 9 hakuna cha maana kule.
Kwa nini uliacha??? Maisha ya baada ya upadre yanatofauti gani na ya upadreNimeutumikia Upadri kwa takriban miaka 9 hakuna cha maana kule.
Ngoja nikuulize maswali ya mwisho ukishindwa futa huu Uzi;Hahahhahahha duh sio kwa tabiri hizo mkuu, hapa watu wengi wazinguaji ndo maana tunajaribu kukopu nao, ndio maana tunatafuta shirika kama jesuit ambalo linataka mtu anayeweze kuenenda na mazingira vizuri
Watu hawana jema kabisaHahaaa watu mna maneno jamani
Sasa ukijibu unaambiwa ume google mkuu, bora lipi mkuuNgoja nikuulize maswali ya mwisho ukishindwa futa huu Uzi;
1. Liturujia ni nini?
2. Ekaristi takatifu ni nini?
3. Kwaresima ni nini?
4. Mwaka Wa kanisa ni nini?
5. Njia ya msalaba ina vituo vingapi?
6. Kuna mafungu mangapi ya rosali.
===========================
Nasubiri majibu nilale!
Padri atakuwa wewe!Nimeutumikia Upadri kwa takriban miaka 9 hakuna cha maana kule.
Kwa nini uliacha??? Maisha ya baada ya upadre yanatofauti gani na ya upadre
Watu wanajitafutia umaarufu kazi za watuPadri atakuwa wewe!
Shirki ni dhambi lakini viongozi wenu wa dini ndio wapiga ramli no moja.Usilete dharau tusije tukapigishana ban bure.
kama kweli upo serious ni pm. nikupe mwongozo mzuriNaomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Acha story za kukaririshwa mkuuhivi unajua kuwa ukristo ni utapelitapeli wa mfalme constantine na wenzake takribani 200?
Alafu we dogo hii tabia ya kuchafua daraja Takatifu kimizaha itakutokea puani. Fanya mizaha na issues zingine lakini si mambo ya Mungu. Ukiendelea na tabia hii ya kuchafua Upadre kihuni matokeo yake ipo siku utakutana na hasira za aliyeweka daraja hilo....Nimeutumikia Upadri kwa takriban miaka 9 hakuna cha maana kule.
najua nachokiandikaAcha story za kukaririshwa mkuu
Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Ukienda kusoma si ndo unakutana na hilo soma la falsafa, maana hayo ndo masomo yaoUtaweza kuishi bila mke au unatania? Ni vizuri ungeanza seminary o level na A leval ili awe na mda wa kutafakari zaidi. Kama una nia kweli piga falsafa ya uhakika ili ujue kweli kuna Mungu anaesema usioe ili ufanye kazi yake?? Na uwepo wa Mungu kama ni kweli, kutana na Karl Marx
Kweli mkuu, ni kujitoa maisha yako kwa ajili ya wengineHakuna kz ya upadri.