Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Ndio, kama huna hata record ya seminary ni ngumu. Angalau tuliosoma seminary tunaweza kurudi kwasababu tunakuwa tunajulikana kwenye systemKwa hiyo itakuwa ngumu kupokelewa??
Ndio, kama huna hata record ya seminary ni ngumu. Angalau tuliosoma seminary tunaweza kurudi kwasababu tunakuwa tunajulikana kwenye systemKwa hiyo itakuwa ngumu kupokelewa??
Kwa nn uliacha kwendelea na upadre mkuu, nini kilikukimbiza??Ndio, kama huna hata record ya seminary ni ngumu. Angalau tuliosoma seminary tunaweza kurudi kwasababu tunakuwa tunajulikana kwenye system
Wewe huna wito wowote Wa kipadre! ..utaenda kutuharibia masister wetu bure!...mtu mwenye wito Wa upadri Kwa umri wako huo lazima ungekuwa unajua taratibu!Wanaoitwa wanakuwaje mkuu?? Ebu weka vizuri maelezo.
Hahahaha wasi wasi wako mkuu, padre wa kweli anatengenezwa kwa misingi mkuu, mtu aenyeke miaka 10 halafu aje kuharibu si itakuwa maajabu hayo?Wewe huna wito wowote Wa kipadre! ..utaenda kutuharibia masister wetu bure!...mtu mwenye wito Wa upadri Kwa umri wako huo lazima ungekuwa unajua taratibu!
Kwasababu kanisa katoliki lina mafundisho, mkatoliki mwenye mafunzo yote ya sakrament hawezi shindwa tambua sehemu na namna ya kujiunga upadre;
Sasa wewe unataka kuwa padre utuvuruge
Suala siyo kujipendekeza bali kupata fursa ya kuyajua maisha halisi unayotaka kuyaendea, lakini pia huyo padre wa eneo lako ikiwa ni pamoja na jumuia watakuwa na jukumu la kuelezea wasifu wako kwa shirika husika. Kama hawakujui watasema nini? Wadanganye?Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Hapana mkuu, hata ambaye hajapita seminary anaweza kuingia na kuhudumu tena vizuri kabisa.Ndio, kama huna hata record ya seminary ni ngumu. Angalau tuliosoma seminary tunaweza kurudi kwasababu tunakuwa tunajulikana kwenye system
Hahaha! Huko sio kujipendekeza Mkuu, ni kunyenyekea, sifa mojawapo ya kuwa padre.
Mkuu inaonekana una maarifa na hizi mambo embu toa experience mkuu, maana najua humu watu wa kila idara wapoHapana mkuu, hata ambaye hajapita seminary anaweza kuingia na kuhudumu tena vizuri kabisa.
Hizo seminary ndogo siyo kigezo cha kuingia bali elimu ya kidato cha sita pamoja na wito.
Uvumilivu ndio msingi mkuu....maisha ya utawa ni mazuri ukiamua kujitoa kwa ajili hiyoKwahiyo Na ww unataka usiwe unagegeda? Hesabu miaka 15 mbele ndio utakuwa tayari padre kama ukianza masomo sasa.
Kwa hiyo hilo tu ndo waliwazia , ufalme wa Mungu kwanza mkuu, mengine baadaeUkotayari kutengana na mbunye
Kwani nataka kuwa bodigadi mkuu, nahitaji kuipata nuru ya kristo mkuuMuone Gwajima. Anatafuta mabodigaf
Uvumilivu ndio msingi mkuu....maisha ya utawa ni mazuri ukiamua kujitoa kwa ajili hiyo
Hahahahah kwa hiyo tuliaochagua wito mkuu, ndo tumeharibikiwa?? Yaani kuchagua kuishi maisha ya ufukara ndo kuonekana watu wa ajabuSasa dogo umri huo tayari maisha yamekuvuruga kias hicho..ukifika 30 si utakuwa mganga wa kienyeji..rubbish
Sawa mkuu, maisha ni kuchagua mkuuSawa mkuu endelea kuwa mvumilivu ili uwe mtawa.