Nahitaji Kujiunga na upadre

Nahitaji Kujiunga na upadre

Ni vyuma vya kitaa aau ni wito kwel mkuu,maaana haya mambo ni mazito,..utembeze bahasha mtaan weee na degree yako mwisho wa siku useme una wito,..unakua huna tofaut na lusekelo au gwajima ingawa wao baada ya msoto sana walisema walitokewa na Mtukufu wetu Yesu wakaambiwa wawe wachungaj
Hahahahah uwezi kufanya kazi ya padre kama huna wito maana unaenda kuishi ya ufukara kwa miaka yote mkuu
 
Hadi umefikia umri huo utakuwa umeshazini mara 107. Sijui kama utafaa.
Acha kukatisha tamaa mkuu, lengo lazima litimie maana nimechagua wito mkuu wa Mungu, Mungu wetu ni pendo
 
Hahahaha wasi wasi wako mkuu, padre wa kweli anatengenezwa kwa misingi mkuu, mtu aenyeke miaka 10 halafu aje kuharibu si itakuwa maajabu hayo?
Kwanza inavyoelekea huna sakrament hata moja!
Kama unabisha jibu maswali yafuatayo!
1. Nitajie sakrament saba za kanisa katoliki
2. Daraja takatifu ni nini?
3. Taja alama za kanisa katoliki
4. Nini tofauti kati ya dhambi na dhamiri
5. Ushirika Wa watakatifu ni ushirika gan?
Ukinijibu maswali hayo! Ni PM namba yako kesho ukaanze malezi, ukishindwa nenda kanisani ukatubu uanze mafundisho ya ukatoliki.
 
Haya sasa kijana Rebuke umekutana na "katekista" njoo ujibu maswali.
 
Kwa hiyo itakuwa ngumu kupokelewa??
Itakuwa ngumu sana, umri umeenda mno! Hapo utaenda ukashauriwe uwe Buruda "Brother". Wale ambao hawajapitia seminari mara nyingi wanachukuliwa wanapomaliza form IV au Form VI. Na hapo unawakuta wako kwenye age ya 20-22. Kwako mkuu itakuwa ngumu sana! Jaribu kwa Paroko ukasikie atakupa majibu gani!!
 
Kwanza inavyoelekea huna sakrament hata moja!
Kama unabisha jibu maswali yafuatayo!
1. Nitajie sakrament saba za kanisa katoliki
2. Daraja takatifu ni nini?
3. Taja alama za kanisa katoliki
4. Nini tofauti kati ya dhambi na dhamiri
5. Ushirika Wa watakatifu ni ushirika gan?
Ukinijibu maswali hayo! Ni PM namba yako kesho ukaanze malezi, ukishindwa nenda kanisani ukatubu uanze mafundisho ya ukatoliki.
Akikujibu niite!
 
[HASHTAG]#Rebuke[/HASHTAG] unaitwa huku na pengo
 
Umeandika eti unaenda kuishi maisha ya ufukara? Ama Nimesoma vibaya
Hahahahah uwezi kufanya kazi ya padre kama huna wito maana unaenda kuishi ya ufukara kwa miaka yote mkuu
 
Ili kujiunga na shirika lolote lile, sehemu ya kwanza kuanzia ni kwa Padre au Paroko wa Parokia yako. Tafuta muda uende ukaongee naye, ushauri sahihi utaanzia hapo na maswali yote nenda ukaya pose kwake.
Karibu sana!

Malcom Lumumba mkuu I hope utam guide kijana katika dhamira yake.

Upadre ni kujitoa sana,
Vijana wengi huwa wanakuwa na mbwembwe mwanzoni lakini yakikolea sana wanakimbia.
 
Hahahahah uwezi kufanya kazi ya padre kama huna wito maana unaenda kuishi ya ufukara kwa miaka yote mkuu
Kijana.classmates wangu wa4 ni mapadre,so i know wat am sayn.hao mafukara ni mapadre wakwel wa zaman,skuhiz wanaish normal life tena zur kuliko la kitaa ,ushawai ona padri mchaf au kakonda au padre hana usafir,au analala sehem chaf,waumin watafanya lolote ilimrad padre aish maisha saf,...hahah.
Mkuu ila kama kwel unawito jongea tuu mezan mwa bwana,ila utapigwa screaning ya kufa mtu maana wew sio mseminarist..mi nilikua mseminarist ,ila ndo hvi nika asi..sabab nilipenda sana mbunye
 
Back
Top Bottom