Nahitaji kujiunga na CCM

Nahitaji kujiunga na CCM

king ndeshi10:36Today
watu ktoka kaskazini Mwa Tanzania wameamka kuliko namba kubwaya watanzania,hata maendeleo ya MTU mmoja mmoja yanaridhisha ukilinganisha na sehemu Nyingine, so kuichagua chadema ni sehemuya kujitambua kwa watu kutoka kaskazini,the rest of other dump tz inhabitants are just filling the place, am disturbed.msipoamka mpaka mama zenu wataokota makopo. kidumu chama cha wauza pembe.

Ubaguzi uliokithiri..! Hlf mnategemea kuungwa mkono, watu ambao c kutoka kaskazini wanaokiunga mkono cdm hivi hawajui kuwa wanatumika? Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Ili niwe mwanachama wa cdm niwe na sifa gani

Sifa za kujiunga na chadema:
1.uwe msharishari
2.uwe tayari kuandamana bila hata ya kuuliza sababu
3.husiwe unafikiri mambo kwa kina
4.ucthubutu kuhoji kauli au vitendo vinavyofanywa na viongozi wa juu
5.adui yako mkubwa ni CCM
6.uwe mentally blind
7.sapoti kila kitu unachoambiwa na viongozi wako
8.ni marufuku kukubali kushindwa kwa hali yyt ile..!
To be continued
 
Unaumia na m4death yako

Mi sio mwanasiasa, mwanaharakati, mkereketwa, wala mwanachama wa NGO au genge lolote la wahujumu nchi. Mimi ni Mtanganyika wa Tanzania.

M4D, kuvuana magamba, harakati za urais, kusalitiana vyote havinihusu. Ninachojali ni kuwa na opportunity nzuri za kufanya kazi zangu na kujiingiza pato halali.

Ndio maana nikasema kama ni kadi mbona zipo kila kona ya jiji. Sometimes mfanye kazi za maana sio upuuzi wa M4C na ushabiki wa kijinga wa kushabikia CCM oyeeee huku hamjali mstakabali wa taifa lenu na vizazi vijavyo.
 
Sifa za kujiunga na chadema:
1.uwe msharishari
2.uwe tayari kuandamana bila hata ya kuuliza sababu
3.husiwe unafikiri mambo kwa kina
4.ucthubutu kuhoji kauli au vitendo vinavyofanywa na viongozi wa juu
5.adui yako mkubwa ni CCM
6.uwe mentally blind
7.sapoti kila kitu unachoambiwa na viongozi wako
8.ni marufuku kukubali kushindwa kwa hali yyt ile..!
To be continued

well said mkuu! una akili wewe wagawie na hao m4d wanatia huruma na upumbavu wao
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.

Utabiri wangu unaonyesha kuna hatihati uzeeni kwako ukaja kua Mchawi!!
 
your so cheap,unanunuliwa kwa vitu vidogo sana

hujitambui sio kosa lako ni kosa la akili yako kuwa finyu kiasi cha kutoweza kupambanua mambo
 
Haaaaaa![/QUOTE]

unashangaa nini kashangae chopa 3 viti vi3..........
 
watu kama nyie hatuwahitaji humu mna jukwaa lenu linaitwa mipasho kule.....hili ni jukwaa la watu wanaofikiri vizuri.
majibu yako ni unprofesional kabisa...
 
watu kama nyie hatuwahitaji humu mna jukwaa lenu linaitwa mipasho kule.....hili ni jukwaa la watu wanaofikiri vizuri.
majibu yako ni unprofesional kabisa...

unprofesional???? mkuu usichekeshe walonuna
 
Bora nijiunge na waabudu shetani kuliko kujiunga na mcc! ni rahisi kwa mjusi kummeza tembo kuliko mwanamcc kuurithi ufalme wa juu!
 
Back
Top Bottom