Nahitaji kujiunga na CCM

Nahitaji kujiunga na CCM

Sifa za kujiunga na chadema:
1.uwe msharishari
2.uwe tayari kuandamana bila hata ya kuuliza sababu
3.husiwe unafikiri mambo kwa kina
4.ucthubutu kuhoji kauli au vitendo vinavyofanywa na viongozi wa juu
5.adui yako mkubwa ni CCM
6.uwe mentally blind
7.sapoti kila kitu unachoambiwa na viongozi wako
8.ni marufuku kukubali kushindwa kwa hali yyt ile..!
To be continued

musee are you mad!
 
umekaribia kufa wewe c bure,kamuone kinana na atakupa dili la kuua tembo,na ckuhizi tembo wanajilinda kazi kwako.
 
Web kawinde tembo tu wapelekeee pembe zake pale Lumumba watakupa kadi ya uanachama
 
ukitaka kusindikiza wenzio kuishi basi nenda kajiunge na hao wakolon weusi (maccm).
 
Back
Top Bottom