Nahitaji kujiunga na CCM

Nahitaji kujiunga na CCM

Ni vyema na haki yako kama mtanzania
Ila kesho na kesho kutwa usije lalamika umeme kupanda bei, nauli kupanda, kila waziri kubadilisha utaratibu fulani aingiapo wizara ya elimu, wanyama wetu kusafirishwa kupitia viwanja vya ndege bila kuonekana na na na na ............ mengine mengi, uwe mvumilivu sana.
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.
Sory....Naomba muongozo wako tafadhali.... Unaitwa mbuyula au Mburula?
 
kafanye brain scanning

Unataka kujiunga na CCM? Wazo kama hili halitakiwi kuwa kichwani mwako, wala kichwani mwangu, wala kichwani mwa mwanaume yoyote yule ambaye dhakari yake inasimama sawa sawa!
 
Unataka kujiunga na CCM? Wazo kama hili halitakiwi kuwa kichwani mwako, wala kichwani mwangu, wala kichwani mwa mwanaume yoyote yule ambaye dhakari yake inasimama sawa sawa!
sio nataka, tayari nishajiunga leo hutaki shika bango andamana si ndo kawaida yako
 
Hongera sana mkuu kwa uamuzi sahihi, wakati sahihi, mtu sahihi. Nakushauri uulize tawi la ccm katika eneo unaloishi, yaweza kuwa ofisi ya kata, tawi, wilaya au mkoa, utapata full details, kadi inatolewa na tawi unaloishi au unapofanyia kazi mradi uchague wewe mahali utakapoweza kushiriki vikao.

pili, gharama:
kadi ni tshs 300/=
ada ni tshs 200/= kwa mwezi sawa na Tshs 2,400|= kwa mwaka.

Kuwa ccm ni ufahari, njoo tuijenge nchi.

Aje mjenge taifa au muendelee kutubomolea taifa letu..nyambafu!!!!
 
Back
Top Bottom