Nahitaji kujiunga na CCM

Nahitaji kujiunga na CCM

Hongera Komredi kwa kuujua ukweli, karibu tuijenge nchi yetu.
CCM ndio kimbilio la watanzania.
 
Du bora umejistukia mapema,sasa sijajua uko mkoa gani ila kwa kifupi tuna ofcn za ccm kila mkoa,wilaya,kata nadhani na vitongoji,so ni rahisi sana kwako,unaweza kimbia hapo chap wakakupatia,ukumbuke kwenda na passport size yako pls

nipo dar mkuu
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.

Hospitali zipo kaka, nenda ukapimwe malaria!
 
wewe hamna hata aja ya kupima, si mzima, kujiunga na CCM ni ishara ya afya njema ya akili kama ulikuwa hujui
Kiswahili kinakupa shida! halafu kuja hapa jamvini kuuliza namna ya kujiunga na chama cha wauaji ni hitilafu ya ubongo! bora uwahi tu hospitali kabla hujaanza kuvua nguo hadharani.
 
Kiswahili kinakupa shida! halafu kuja hapa jamvini kuuliza namna ya kujiunga na chama cha wauaji ni hitilafu ya ubongo! bora uwahi tu hospitali kabla hujaanza kuvua nguo hadharani.

hosipitali, mkapime na aja
 
Hongera sana mkuu kwa uamuzi sahihi, wakati sahihi, mtu sahihi. Nakushauri uulize tawi la ccm katika eneo unaloishi, yaweza kuwa ofisi ya kata, tawi, wilaya au mkoa, utapata full details, kadi inatolewa na tawi unaloishi au unapofanyia kazi mradi uchague wewe mahali utakapoweza kushiriki vikao.

pili, gharama:
kadi ni tshs 300/=
ada ni tshs 200/= kwa mwezi sawa na Tshs 2,400|= kwa mwaka.

Kuwa ccm ni ufahari, njoo tuijenge nchi.

kweli waje mjenge taifa.......kweli nyie ni pills za kuabort!!!!!!!!!!!
 
Kiswahili kinakupa shida! halafu kuja hapa jamvini kuuliza namna ya kujiunga na chama cha wauaji ni hitilafu ya ubongo! bora uwahi tu hospitali kabla hujaanza kuvua nguo hadharani.

CCM nitaenda hata mponde vipi.
 
Hongera Komredi kwa kuujua ukweli, karibu tuijenge nchi yetu.
CCM ndio kimbilio la watanzania.
yaani we MSALANI nikiona tu Avator yako mahali yeyote kwenye forum najisikiaga kuchafukwa na roho!
 
CCM nitaenda hata mponde vipi.
Nani kakuzuia? mbona huna faida yoyote zaidi ya kuwa kichekesho tu! Mwigulu atakuwa anakutumia kama kichekesho kwenye mikutano yake kama anavyomtumia Tesha wa Igunga!
 
Nani kakuzuia? mbona huna faida yoyote zaidi ya kuwa kichekesho tu! Mwigulu atakuwa anakutumia kama kichekesho kwenye mikutano yake kama anavyomtumia Tesha wa Igunga!

wewe utatumiwa na sugu au sio!
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.

Tatizo ni jina... mbuyula inakaribiana sana na mbulula...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom