utundu wako tu,hivi karate mpaka ukifika level gani ndiyo unakuwa fit haswa haswa.
Kuna situation itakutokea utaona umuhimu wa kujua mapigano kama mimi ilivyonutokeaBado mnawaza kupigana? Mwili wa binadamu ni complicated sana. Unaweza anguka toka ghorofa ya pili na usife ila ukapigwa kibao nyuma ya sikio ikawa ndiyo nitolee.
Baba aliniambia "Kuna namna mbili za kupigana, aina ya kwanza ni mnazipanga one two, bob and weave basically unataka kuwavutia wanawake aina ya pili ni kupigana kwa kung'ata, kufinya, mawe, chupa na kila silaha. Atakayetumia aina ya pili ni lazima atashinda na hata hivyo hakuna mwanamke anayevutiwa na mwanaume anayejua kupigana so stick na aina ya pili"
Wasalaaaaam wazee.
Eebwanaeeee nilikula pigo moja hivi la ajabu kisha akanimalizia na teke moja hivi nikaona sasa huyu simuwezi maana anaonekana anamafunzo ya kupigana wakati mimi sina. Nikataka kumtwisha chupa la kvant wadau wakaja kuzuia pale..
Kwa kuanzia, ingia play store pakua apps iitwayo FIGHTING TRAINER yenye rangi nyekundu.hivi zinauzwa sh ngapi zile na utaratibu wa kuimiliki ukoje...
mimi nipo mbeya man,Kwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki
Tuma neno "Martial arts"
0693322300
Uwe Dar es salaam.
Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.
Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
mimi nipo mbeya man,
Karate Haina mwisho, wewe jifunze kiwango unachohitaji nenda kazini. Kuhusu kuwa fit itategemea unakutana na nani boss unaweza kupata mafunzo mwaka ukajiamini ila ukakutana na jamaa kabla hujaapply ulichojifunza muda wote huo ukawa chini tayari Tena taabani.hivi karate mpaka ukifika level gani ndiyo unakuwa fit haswa haswa.
vipi sasa kama umejifunza ukawiva alafu hakuna mtu anaekuchikoza si utashindwa pakwenda kuapply ujuzi au inakuaje hapoKarate Haina mwisho, wewe jifunze kiwango unachohitaji nenda kazini. Kuhusu kuwa fit itategemea unakutana na nani boss unaweza kupata mafunzo mwaka ukajiamini ila ukakutana na jamaa kabla hujaapply ulichojifunza muda wote huo ukawa chini tayari Tena taabani.