navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 199
- 268
Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
1. Sun shere au Arafu Bati Uwakika.Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
Kampuni ya NABAKI africa Iko POA Sana (NABAKI wanamfunika hadi ALAF)Kampuni gani nzuri ya bati ukiachana na alaf na kiboko
Covermax za Alaf Bei mtelezo halafu bati nne Kama sufuriaJamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana