Nahitaji kuanza kutumia pombe

Dogo, nakuonea wivu sana kwa umri wako huo. Natamani kama binadamu Mungu angetupatia uwezo wa ku-reverse umri, basi ningefanya hivyo! Dogo, anza kutengeneza maisha toka hapo ulipo, pombe za nini dogo? Nakushauri usijiingize kwenye majukumu ya kuoa (familia) kwa sasa hivi, fikiria zaidi maisha ya baadae. Watu wengi hudhani elimu sio uwekezaji, nakushauri dogo piga kitabu, na kama una mtu wa kukusaidia, nenda hadi Masters, ndipo uanze kufikiria maisha. Usikimbilie maisha kabla haujajiandaa vyema. Nakuonea wivu sana huo umri wako!
 
Gily nje hakuna mataputapuπŸ˜‚ ujue Baba wao ni wao unanifurahisha sana ila pombe miaka 14πŸ˜“πŸ˜€πŸ˜ͺ😩😰nimechoka
 
Pombe cheap ni banana na wanzuki.
Ukimaliza kulewa kula ndizi mbivu kukata harufu au karafuu
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nimecheka sana kwa huu ushauri wako lakini ndo ukweli wenyewe.

Mimi ni kijana ambaye nimetumia pombe kwa muda mrefu kama miaka 9 hivi... Kiumri nipo kweny mid 20s kma mtoa mada.

Pombe haina faida yoyote lakini kuna ile raha huwa mtu anaipata akinywa(instant gratification) ndo maana kuiacha ni ngumu sana ukifikira hiyo kitu.

Mimi nilianza kupiga vitu nikiwa naenda club napiga viroba vi3 alafu naingia ndani full kujiamini tu na kubambia watoto wazuri😜... Siku hizi nimepunguza napiga vitu classic kidogo ila sijaacha.

Mwisho ni vichwa vichache sana vinavyoweza kuhimili pombe na kuitawala... Mimi nilikuwa napiga vitu majirani hawajui ilipita miezi kama sita ndipo mama mwenye nyumba kuja kushangaa kuwa natumia kilevi... 😁😁😁😁
 
Una kichwa chepesi au kichwa panzi... Mimi napiga vitu ila sijawahi kuruhusu wazazi wajue... Nikienda kusalimia pombe nakaa nayo mbali na hata nikisema niboost kidogo nakuwa bubu kabisa.
 
Aisee,really?So umekubali udanganyifu wa Shetani kwamba pombe itakuondolea stress,not at all.Infact turning to alkohol will only invite more problems into your life overdrinking and womanizing etc. which will lead to gross misuse of your resources and more stress.And mindyou these are not the only vices associated with overdrinking,there are a lot more including cigarette smoking,gambling and may be even drugs.Friend,do not play with the Devil, he will completely ruin your life.Once you open one avenue for him,he will open many more.

Lastly, I advice you to come to Jesus Christ.Through the Holy Spirit who Jesus will provide you will find life interesting, easy and good despite the shortfalls.Jesus Christ is your only hope, nothing else.
 
Nitakushauri pombe nzuri ya kunywea geto kwa siri lakini kwanza pitia huu uzi.. Some kwa kutulia
 
Nitakushauri pombe nzuri ya kunywea geto kwa siri lakini kwanza pitia huu uzi.. Some kwa kutulia
Anza na serengeti lite badae uanze kupiga ka konyagi kadogo hutajutia
Shida ya pombe haina kipimo hasa ukiwa na stress na ikishapenya hufungua kufuli za usiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…