Nahitaji kuanza kutumia pombe

Bora uwe Malaya lakini usiwe mlevi mkuu.
Pombe usijaribu
 
Pombe itakuongezea stress mimi nimeacha nina wiki tatu cjanywa naachana nayo pombe imeniharibia sana nilikua mtu wa heshima lkn pombe ilichonifanya ctaki kuinywa tena
 
Smirnoff beer itakufaa sana kwa kuanzia chief, mimi ilinisaidia sana nilipoanza kujifunza kunywa gambe na hutajutia
Unawezachanganya na limao kidogo

Nakutakia kila la heri
 
Smirnoff beer itakufaa sana kwa kuanzia chief, mimi ilinisaidia sana nilipoanza kujifunza kunywa gambe na hutajutia
Unawezachanganya na limao kidogo

Nakutakia kila la heri
Ha ha ha haaa
 
Anza na Double Kick, huwa inachanganya vizuri halafu ni portable

 
Fundisha hii kitu namna ya kupiga gambe😁😁
Gambe is a stress free zone
Muulize mama Natty🏃🏃🏃
Nilimfundisha mtu pasi ye kujua
Matokeo yake akaninunia.
Sirudii kwa mwingine.
 
anza na gongo la mboto a.k.a chingili
ipo siku utanishukuru mkuu
 
Nilimfundisha mtu pasi ye kujua
Matokeo yake akaninunia.
Sirudii kwa mwingine.
Sasa kawa mlevi cha pombe
Anapiga "Jagermeister" kama hana akili nzuri😁😁😁
Haka ka mbinu ka kuweka chumvi na limao kwenye gambe mfn Konyagi naamini hukajui kanakata hang over balaa😁😁😁
Mwambie mtoa mada akaribie chamani
 
Kwa kipato chako anza kunywa gongo lenye ujazo wa kopo moja la soda ndogo ni buku,volume ya alcoh ni undifined kabla hujamaliza kopo la pili hakikisha umefunga kamba kwenye suruali usawa miguu kwa kuwa ndo utakuwa unaanza ili usimwage radhi kwa kubana bajeti utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…