Mkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali hapa;
1. Zao hili linaweza kuhimili hali ya hewa ya haya maeneo na kama sio maeneo yapi ni muafaka kulima hapa Tanzania ( conducive environment to grow beetroots)
2. Ni variety ipi nzuri kupanda katika maeneo haya,
3. Je, ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kuweza kuzalisha mazao bora
4. Masoko yake yakoje hapa Tanzania
5. Misimu yake imekaaje? upi mzuri kulima zao hili
Jukwaa hili kubwa, linawatu mahili naomba msaada jamani
Asanteni;
Chamwino Makulu.
Utamuuzia nani?Kalime zao ghali duniani saffron (zaafaran)
Pekua sana kwenye mitandao
Zao hili hulimwa sana Iran na Spain
Kg moja ni kuanzia milion 4 na kuendelea
Mkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.
Sijui hiyo beetroot ila kama inalipa inabid tupige
Mkijibiwa mnitagUtamuuzia nani?
SawaMkijibiwa mnitag
Soko la dunia mkuuUtamuuzia nani?
Je, hayo mazao yanaweza kustawi katika nchi yetu?Soko la dunia mkuu
Tatizo letu hatuuzi nje kama wengine wanavyofanya
Kampuni yetu tunanunua sana na kuuza
Kwa mfano zao la vanilla ni zao ghali sana na wenzetu Madagascar ndio wauzaji wakuu duniani
Na kilo ya vanilla ni $600 leo hii pia tunauza sana tu lakini nyumbani inalimwa na soko ni duni sana
Haya ndio mazao ya kuchangamkia kama unataka kutengeneza hela
Hii hapaMkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.
Ndio yanastawiJe, hayo mazao yanaweza kustawi katika nchi yetu?
Hii ni habari njema kwa wakulima wajasiriamali. Ngoja niifuatilie kwa kinaNdio yanastawi
Mkuu neema tuliyonayo kila kitu kinastawi huko
Kwani tuna ardhi kubwa ambayo kila sehemu ina hali ya hewa tofauti
Na washauri wa ardhi wapo ambao watakuambia wapi pa kupanda nini
Mkuu fuatilia zao la vanilla linalimwa huko ila sijaliona zao hili kimataifa kama unaweza lifuatilie kwa undani kwani linalipa sanaHii ni habari njema kwa wakulima wajasiriamali. Ngoja niifuatilie kwa kina
Pamoja kiongozi. Ngoja tuone namna ya kujikwamua na hivi vyumaMkuu fuatilia zao la vanilla linalimwa huko ila sijaliona zao hili kimataifa kama unaweza lifuatilie kwa undani kwani linalipa sana
HUKOHUKO chamwino ulimo ndo kuzuri Kuna bonde la manchali na chalinze maji mwaka mzimaWapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali hapa;
1. Zao hili linaweza kuhimili hali ya hewa ya haya maeneo na kama sio maeneo yapi ni muafaka kulima hapa Tanzania ( conducive environment to grow beetroots)
2. Ni variety ipi nzuri kupanda katika maeneo haya,
3. Je, ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kuweza kuzalisha mazao bora
4. Masoko yake yakoje hapa Tanzania
5. Misimu yake imekaaje? upi mzuri kulima zao hili
Jukwaa hili kubwa, linawatu mahili naomba msaada jamani
Asanteni;
Chamwino Makulu.
Yanastawi Sana na kiazi chake kinakuwa kikubwa kuliko vya nchi za wenzetuJe, hayo mazao yanaweza kustawi katika nchi yetu?
Mbegu zinapatikana wapi na kwa bei gani?Yanastawi Sana na kiazi chake kinakuwa kikubwa kuliko vya nchi za wenzetu
Haya yanataka kufanana na magimbi je yanaliwa mabichi ? Je soko lake kikoje?Hii hapa View attachment 861344
itabiidi nikutafute mkuu waonakana una mawazo mapana sana kuhusu kilimo biasharaMkuu fuatilia zao la vanilla linalimwa huko ila sijaliona zao hili kimataifa kama unaweza lifuatilie kwa undani kwani linalipa sana
Hapana haya wengine wanayaita viazi vyekunduHaya yanataka kufanana na magimbi je yanaliwa mabichi ? Je soko lake kikoje?