Nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga

Bozi

Member
Oct 13, 2012
92
144
Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali hapa;

1. Zao hili linaweza kuhimili hali ya hewa ya haya maeneo na kama sio maeneo yapi ni muafaka kulima hapa Tanzania ( conducive environment to grow beetroots)

2. Ni variety ipi nzuri kupanda katika maeneo haya,

3. Je, ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kuweza kuzalisha mazao bora

4. Masoko yake yakoje hapa Tanzania

5. Misimu yake imekaaje? upi mzuri kulima zao hili

Jukwaa hili kubwa, linawatu mahili naomba msaada jamani

Asanteni;

Chamwino Makulu.
 
Mkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.
 
Utamuuzia nani?
Soko la dunia mkuu
Tatizo letu hatuuzi nje kama wengine wanavyofanya
Kampuni yetu tunanunua sana na kuuza
Kwa mfano zao la vanilla ni zao ghali sana na wenzetu Madagascar ndio wauzaji wakuu duniani
Na kilo ya vanilla ni $600 leo hii pia tunauza sana tu lakini nyumbani inalimwa na soko ni duni sana
Haya ndio mazao ya kuchangamkia kama unataka kutengeneza hela
 
Je, hayo mazao yanaweza kustawi katika nchi yetu?
 
Mkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.
Hii hapa
20180909_144339.jpeg
 
Ndio yanastawi
Mkuu neema tuliyonayo kila kitu kinastawi huko
Kwani tuna ardhi kubwa ambayo kila sehemu ina hali ya hewa tofauti
Na washauri wa ardhi wapo ambao watakuambia wapi pa kupanda nini
Hii ni habari njema kwa wakulima wajasiriamali. Ngoja niifuatilie kwa kina
 
Mkuu fuatilia zao la vanilla linalimwa huko ila sijaliona zao hili kimataifa kama unaweza lifuatilie kwa undani kwani linalipa sana
 
Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali hapa;

1. Zao hili linaweza kuhimili hali ya hewa ya haya maeneo na kama sio maeneo yapi ni muafaka kulima hapa Tanzania ( conducive environment to grow beetroots)

2. Ni variety ipi nzuri kupanda katika maeneo haya,

3. Je, ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kuweza kuzalisha mazao bora

4. Masoko yake yakoje hapa Tanzania

5. Misimu yake imekaaje? upi mzuri kulima zao hili

Jukwaa hili kubwa, linawatu mahili naomba msaada jamani

Asanteni;

Chamwino Makulu.
HUKOHUKO chamwino ulimo ndo kuzuri Kuna bonde la manchali na chalinze maji mwaka mzima
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom