Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali hapa;
1. Zao hili linaweza kuhimili hali ya hewa ya haya maeneo na kama sio maeneo yapi ni muafaka kulima hapa Tanzania ( conducive environment to grow beetroots)
2. Ni variety ipi nzuri kupanda katika maeneo haya,
3. Je, ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kuweza kuzalisha mazao bora
4. Masoko yake yakoje hapa Tanzania
5. Misimu yake imekaaje? upi mzuri kulima zao hili
Jukwaa hili kubwa, linawatu mahili naomba msaada jamani
Asanteni;
Chamwino Makulu.