Natafuta kiwanja kibaha maili moja

Streptokinase

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
268
421
Wadau habari zenu, katika harakati za kujitafuta kama kijana nimepata kiasi flan cha pesa nataka kujenga. Bajeti ya kiwanja ni 4 M to 5M.

Nahitaji kupata kiwanja maeneo hayo ya maili moja sababu ya ukaribu wa eneo nifanyapo kazi (mbezi mwisho) sababu nategemea kuanza ujenzi mwezi wa sita. Kwaio ningependelea eneo lisiwe mbali sana na morogoro road walau km2.

Kama kuna dalali au mtu binafsi anacho tunaweza kuongea zaidi pm.

Natanguliza shukrani na kukaribisha maoni mengine pia.
 
Usiwe unaweka bajeti kama hivyo, utakuja uuziwe kiwanja cha milion 2 kwa bei ya milion 4. Msikilize kwanza muuzaji bei atakayoitamka ndipo mfanye mazungumzo
 
Back
Top Bottom