Nahitaji internet ya mwezi

Nahitaji internet ya mwezi

NR'S

Senior Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
106
Reaction score
12
Kidume nimekwama baada ya mabasi kupata pancha .naomba msaada ni nunue net ya mtandao gani ambayo itakuwa rahisi kwasababu nina maassigment mengi.

Au anaye jua maujanja aniPM.
 
Tumia moja kati ya hizi USSD Code.
*149*99#
*149*01#
*148*00#
Some txt
ʇɔɹ˙ןʍɯ ʎq pǝʇǝןǝp
 
Tumia moja kati ya hizi USSD Code.
*149*99#
*149*01#
*148*00#
Some txt
ʇɔɹ˙ןʍɯ ʎq pǝʇǝןǝp

Hzi ni za mtandao wa tigo
 
nunua tigo kabang ya wiki kwa tigo rusha.

1. dakika 150 mitandao yote
2. dakika 150 tigo kwenda tigo
4. GB 1 internet ya faster
5. unlimited browsing (baada ya kumaliza GB yako moja)

kifurushi hichi kinauzwa 11,000. ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.

dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing.

kumbuka ni tigo rusha tu ndo unapata hii offer
 
Thanks u brother i work with it
 
Vodacom unlimited per month
only at @40000 Tsh
.
For those
.
Who addicted in movies and korean series like me
and other torrenters
.
Cc. Joe Nyandigira
 
Last edited by a moderator:

mpaka leo hii sijaona kifurushi chenye value for my money. Tangu unlimited zetu ziende kwa kweli imekuwa pigo takatifu la kufungulia mwaka 2014. afu wakakaza na cheka ya usiku ili waone jeuri yetu
 
Kaka mm natumia 5Gb vodacom kwa 10000. Ukihitajia sms 0779420000
 
hapa itabidi tu muda sio mrefu tuanze kuwatumia ma isp's kama kina SimbaCom etc. maana hivi virushi nowdays sio satisfactory kabisa
 
nunua tigo kabang ya wiki kwa tigo rusha.

1. dakika 150 mitandao yote
2. dakika 150 tigo kwenda tigo
4. GB 1 internet ya faster
5. unlimited browsing (baada ya kumaliza GB yako moja)

kifurushi hichi kinauzwa 11,000. ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.

dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing.

kumbuka ni tigo rusha tu ndo unapata hii offer

Unajiungaje?
 
Mbona Formula ya Unlimited Internet Ipo Sema tatzo n Kuielewa na Kuifanyia Kazi Tuu Japo Speed Yake Sio Kali Sana

UNLIMITED INTERNET= TG + Megabox

Akili Yako ... na Kuifanyia Kazi kwako..
 
Hii ipo vipi kaka nipe maujanja kwa pm
 
Back
Top Bottom