Nyagi
Member
- Nov 24, 2013
- 22
- 3
nunua tigo kabang ya wiki kwa tigo rusha.
1. dakika 150 mitandao yote
2. dakika 150 tigo kwenda tigo
4. GB 1 internet ya faster
5. unlimited browsing (baada ya kumaliza GB yako moja)
kifurushi hichi kinauzwa 11,000. ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.
dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing.
kumbuka ni tigo rusha tu ndo unapata hii offer
Mkuu sijakuelewa hapa "
ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata.
dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing." unamaanisha ukienda kununulia ofisini kwao au?