English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 368
- 471
Wana-JF naombeni msaada wenu,
Nahitaji Dada wa Ndani kwa shughuli za kawaida za nyumbani kama usafi (nyumba, vyombo, nguo, uwanja), kupika, n.k Atafanya kazi katika familia ya watu wanne na mtoto mchanga mmoja (miezi miwili) iliyopo Ilala Dar es Salaam.
Sifa za Dada wa Ndani:
Mawasiliano:
Nimeyaondoa baada ya kufanikiwa!
Updates
Nawashukuru sana Wana-JF kwa upendo na moyo wenu wa kusaidiana. Nilikwishafanikiwa kumpata Mdada wa Ndani. Mungu awabariki nyote.

- Awe msafi wa mwili na apende usafi wa nyumba, vyombo na mazingira
- Awe na upendo kwa watoto, watu wazima na wageni
- Asiwe amehitimu mwaka huu na mpango wake wa kuendelea na masomo usiwe unaangukia mwaka 2013
- Awe mshika maadili ya Kiafrika na mcha Mungu.
- Asiwe mjamzito
- Ajue kutumia simu lakini asije na simu yake ya mkononi
Mawasiliano:
Nimeyaondoa baada ya kufanikiwa!
Updates
Nawashukuru sana Wana-JF kwa upendo na moyo wenu wa kusaidiana. Nilikwishafanikiwa kumpata Mdada wa Ndani. Mungu awabariki nyote.