aise muombe muumba manake wadada wa kaz wamekuwa wa ajab sana
wanga
wajeuri
wanafanya kaz watakavyo kisa wanajua tnawahtaji
wezi kuanzia wa waume mpaka vitu vya jikoni
wangu nimemfukuza kaz juz tangu amefika hapa miez 2 nimepoteza simu 2 mwanangu kapungua 500gr,ikifka mchana anapaka wanja anaenda kibarazan kusogoa anasaka wanaume
akikosea kt ukimuuliza anadai anaenda nyumbani.
Cha ajabu cku namwambia sasa basi uende makwenu alilia akagalagala chini eti nimuhurumie atanilipa cm kesho yake hahaha .
Kwa kosa la kutomjali mtoto wangu huruma ikatoweka nikakataa lol kwahyo kuwa mwangalifu sana