Nahitaji haya mazao kwa wingi

Nahitaji haya mazao kwa wingi

Nahitaji mihogo mikavu (makopa), maharage ya soya (soya beans) na pilipili kavu. Mwenye supply ya uhakika angalau tani mbili kwa mwezi kwa kila zao tuwasiliane whatsapp 0789904445
 
Ofa Yako bei gani?
Ni nayo hapa Tanga,
 

Attachments

  • 1792158988459.jpg
    1792158988459.jpg
    153.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom