Mbona ipo ndugu?Huo mhogo utaokausha na maganda yake si itaoza kabla haujakaika!?
Wapo nduguIla michongo mingine mtihani, tani elf 1 kwa mwezi hamna supplier ataweza miez hat 4 mfululizo.
Nipo Arusha ila mzigo uende Dar. Tani moja laki 5Tani moja unanunua shngap na unapatikana wapi?