Nahitaji feni, nipo Dar

Nahitaji feni, nipo Dar

Nipo na feni nilinunua 40k hata haikajaa sana imeharibika mtoto kaharibu ndo maana natafuta nyengine humu ndo maana nikaweka 20k kama kiwango changu nilichonacho mjini mipango!!!!

Nishawazoea hamnipi shidaaa baadhi ya vidudu humu

Mnajimwambafai kumbe hamna lolote tunaotakiwa kujimwambafai ni cc tuliojiajiri au waliojiriwa sio ww unayekula bure kwenu kazi kupopoa wenzio humu[emoji57][emoji57][emoji57]

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona 97%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap???

Jf kila mtu ana nyumba na gari sjui daladala wanapandaga kiba nani[emoji44][emoji44][emoji44]

Stop faking your life niggah

Baadhi yenu muelewe

Kazi yenu baadhi yenu humu ni kuwapopoa wenzenu tuuu wakati nyie hamna lolote

Tena wengi mnaishi huko vijijini mnatukana humu shukuruni rea bila hivo hivyo vitecno visingepata chaji ya kuja kuwapopoa wenzenu humu

Unazeekea kwa shemeji zako sijui kwa dada unakula bure unakunywa unakunya bure utajulia wapi shida kijana weye?

Kijana mzima upo above 20+ huna hata godoro hata futi moja halafu unakuja kunipopoa mimi ebo[emoji1787] kama huu uzi haukuhusu jamba mbele!!!!!!!!!

Msinijazie nzi kwenye post yangu[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]

Haya povu ruksa ila lisiwe la sabuni za mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa povu hili...
 
Aisee povu kama lotee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia hiyo no tano
Wewe jamaa utakua mshamba na limbukeni wa maisha

Kwanza sehemu yoyote ufanyayo au utakayo kufanya tambua ya kwamba lazima kuwe na changamoto....

Mbili huwezi pata feni ya 20,000 utauziwa mbovu,feni zinaanzia 50,000 ambayo unaweza kudumu nayo walau kwa mda mrefu..

Tatu, sio kwamba kutumia iphone au samsung ndiyo watu wameyaweza maisha,ni uamuzi tu,kwamba simu flani inasaidia mambo yangu yaende nitakavyo,na wala sio eti ndo wanapesa sana

Nne, acha dharau kuishi kwa shemeji alikoolewa dada si dhambi,inategemea una fanya nini na una miaka mingapi,kuishi kwa shemeji hizo ni process za maisha tu hapa duniani,watu wanaishi na shemeji zao walikoolewa dada zao,sio kwamba eti wamependa,ni maisha tu...

Tano usipende kuonyesha ujinga wako mbele za watu,unafanya watu waanze kukuweka kwenye kundi ambalo hata hufai kuwekwa huko,watu wanaweza sema wewe ni mwehu au ni chizi?? Hoja hujibiwa kwa hoja,na sio lwa matusi na mipasho,hii ni moja ya alama inayoonyesha kwamba shule na wewe ni mbingu na ardhi.... Acha ujinga...learn from others.... Jumapili njema

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maandishi haya nimesita hata kukupa appointment ya kukuuzia kafeni kangu. Nayaweza kuyakoga maneno kwa kukuuzia kafeni kasiko na upepo wa kutosha. Huwezi jua.

Inatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kwani shi ngapi?usite mara elfu moja we vipi bhana wauzaji wametulia itakua wewe?
Acha kujimwambafai we jamaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa utakua mshamba na limbukeni wa maisha

Kwanza sehemu yoyote ufanyayo au utakayo kufanya tambua ya kwamba lazima kuwe na changamoto....

Mbili huwezi pata feni ya 20,000 utauziwa mbovu,feni zinaanzia 50,000 ambayo unaweza kudumu nayo walau kwa mda mrefu..

Tatu, sio kwamba kutumia iphone au samsung ndiyo watu wameyaweza maisha,ni uamuzi tu,kwamba simu flani inasaidia mambo yangu yaende nitakavyo,na wala sio eti ndo wanapesa sana

Nne, acha dharau kuishi kwa shemeji alikoolewa dada si dhambi,inategemea una fanya nini na una miaka mingapi,kuishi kwa shemeji hizo ni process za maisha tu hapa duniani,watu wanaishi na shemeji zao walikoolewa dada zao,sio kwamba eti wamependa,ni maisha tu...

Tano usipende kuonyesha ujinga wako mbele za watu,unafanya watu waanze kukuweka kwenye kundi ambalo hata hufai kuwekwa huko,watu wanaweza sema wewe ni mwehu au ni chizi?? Hoja hujibiwa kwa hoja,na sio lwa matusi na mipasho,hii ni moja ya alama inayoonyesha kwamba shule na wewe ni mbingu na ardhi.... Acha ujinga...learn from others.... Jumapili njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you gone mad?kwani ni nani aliyesema kutumia iphone na samsung ndo kuwin maisha
Au nani aliyekuambia kuwa nina chuki na watumiaji wa samsung!!!!nitue we jamaa

Mimi naongea na hao wenzio wanaofake maisha kwa kujidai humu kuwa wana good life kumbe hawana lolote

Ninaongea na hao wanaojidai wanatumia simu za gharama iphone and samsung good ilhali kumbe wana tecno?kwanini wasijikubali na tecno zao na kwanini wasiache kudharau wanaotumia tecno humu ilhali wenye wanazitumia lakini nyuma ya keyboard wanajimwambafai kuwa wana samsung au iphone?

Point yangu natumai umeielewa

Are you gone mad?[emoji777][emoji777][emoji777]
Have you gone mad[emoji818][emoji818][emoji818]
Are you mad? [emoji818][emoji818][emoji818]

Haijalishi nimepatia au nimekosea msg ishadeliva sasa si uende ukafundishe seminar tu?unapuyanga nini huku? Na kingereza chako cha form four?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... Are you gone mad?? Waingereza naombeni samahani kwa niaba ya huyu jamaa kwa kuharibu lugha yenu....!!
Are you gone mad?kwani ni nani aliyesema kutumia iphone na samsung ndo kuwin maisha
Au nani aliyekuambia kuwa nina chuki na watumiaji wa samsung!!!!nitue we jamaa

Mimi naongea na hao wenzio wanaofake maisha kwa kujidai humu kuwa wana good life kumbe hawana lolote

Ninaongea na hao wanaojidai wanatumia simu za gharama iphone and samsung good ilhali kumbe wana tecno?kwanini wasijikubali na tecno zao na kwanini wasiache kudharau wanaotumia tecno humu ilhali wenye wanazitumia lakini nyuma ya keyboard wanajimwambafai kuwa wana samsung au iphone?

Point yangu natumai umeielewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update: Hatimaye nilipata kwa 22k mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]full upepo tena muhusika kaitumia only 2 months bado mpya kbs.....haya mje mnipopoe tena

Mimi naitwa toplemon bhanaaa!!!!!!!!
IMG_20200209_232014_133.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa utakua mshamba na limbukeni wa maisha

Kwanza sehemu yoyote ufanyayo au utakayo kufanya tambua ya kwamba lazima kuwe na changamoto....

Mbili huwezi pata feni ya 20,000 utauziwa mbovu,feni zinaanzia 50,000 ambayo unaweza kudumu nayo walau kwa mda mrefu..

Tatu, sio kwamba kutumia iphone au samsung ndiyo watu wameyaweza maisha,ni uamuzi tu,kwamba simu flani inasaidia mambo yangu yaende nitakavyo,na wala sio eti ndo wanapesa sana

Nne, acha dharau kuishi kwa shemeji alikoolewa dada si dhambi,inategemea una fanya nini na una miaka mingapi,kuishi kwa shemeji hizo ni process za maisha tu hapa duniani,watu wanaishi na shemeji zao walikoolewa dada zao,sio kwamba eti wamependa,ni maisha tu...

Tano usipende kuonyesha ujinga wako mbele za watu,unafanya watu waanze kukuweka kwenye kundi ambalo hata hufai kuwekwa huko,watu wanaweza sema wewe ni mwehu au ni chizi?? Hoja hujibiwa kwa hoja,na sio lwa matusi na mipasho,hii ni moja ya alama inayoonyesha kwamba shule na wewe ni mbingu na ardhi.... Acha ujinga...learn from others.... Jumapili njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepataaaah.......mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
IMG_20200209_232014_133.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀
We kiumbe wa Mungu ni mshari sana
 
Sifuti wala sibadili chochote ikae kimasikini sijui kimipasho kama ulivyosema doesn't matter ujumbe ufike kama na wewe unafake life pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli usifute chochote mkuu wakomeshe, halafu kuna jamaa kasema unamaneno ya kike hajui kuwa wewe ni mwanamke, tangu lini mwanaume akawa na maneno kama hayo
 
Back
Top Bottom