Angalia ndugu yangu, usije jinyongaAsante sana japo ananivunja moyo sana ila mapenzi ya dhati ninayo kwake.
Duh! Mkuu kama wewe ni mwanamke nimekupenda bure.Pole sana mkuu, sijui unataka dalili gani nyingine ya kukuonyesha kuwa hapo ulipo sipo!!!
Mapenzi ya dhati ukiwa hauna kitu yamebakia kuwa historia tu, and hope unalielewa hilo.
Hivi mtu alokunyanyasa kiasi hicho bado unafikiria kumvisha pete!! Okey unataka umuoe wakati hauna kitu ili ugundue nini kipya? Utaweza kuyavumilia masimango yake mkiwa tayari ndoani?
Huyo ana shida na "harusi" sio ndoa, mwenye utayari na ndoa hawi hivyo ulivyo mdescribe.
NB: kudate na mwanaume asie na kitu ni kipaji, na wamejaaliwa wachache sio wote.
Kama unakuwa muoga wa kufanya maamuzi aisee wanawake watakusumbua sana. Anyway komaa nae huenda akabadilika, lakini ningelikuwa mimi hata namba yaake nigelikuwa nimeshafuta.[/QUOTE
Mkuu, tatizo ni kuifuta kwenye phoebook alafu ikabaki kichwani.
Wenye maumivu ya namna hiyo tupo wengi.Maswahibu yanatukuta wengi Kwa namna tofauti.Nilivyoshinda na kuimaliza siku ya Jana Mungu anajua. Pole Mkuu,relax kama mie na usimweke kipaombele huyo binti.Hawa watu ni hatari.
Ofcoz yes. Ukiamua unamsahau japo inachukua mudaSikia kaka jipende nafsi yako kabla ya kumpenda yeye mchukulie ni MTU tu ambae ni MTU tu uliyekutana nae ukubwani.Kitendo cha kukaa muda mwingine unamfikilia yeye kitakurudisha nyuma utashindwa kufanya mambo yako ya maendeleo mambo mengi hapa duniani.
Muache aende akajifunze maisha wewe tafuta pesa.unaumia kwa sababu unamuweka akilini mtoe mawazoni kwako fight wewe ni mwanaume kesho atakuita baba huyo...chukua hii thamani yako ataiona itakavyokuwa nae mbali achana nae tu.
Hahahaa! Sasa unaingia Tarime MuraaMkuu unavyoitwa mwanaume sio kwasababu tu unamiliki gegedeo, uanaume ni pamoja na kuchukua maamuzi magumu. Piga chini uyo mkuu halafu songa mbele saka life. Usiupe uchi kipaumbele kiasi icho mpaka unakutoa machozi. Asee ita gheto kula mzigo halafu mrushie chupi yake mwambie vaa sepa tusijuane tena uku ukiwa umevaa sura ya ukatili, ukiwajulia hawa hawakulizi mkuu

Yap ila ukijiendekeza ndio imekula kwakoOfcoz yes. Ukiamua unamsahau japo inachukua muda
Yaani sitaki kuamini ni hadithi ya kweli hii.Hata mimi sijawahi ona mwanume weak kiasi hiki. Labda kipindi cha shule tena o level
Hata kwenye maisha ya kawaida bado napata ukakasi kama atayamudu vilivyo