Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

Asante mamy ila mbona kama diet yako iko vice versa..kwa nini nile matunda mchana na sio usiku?
 
Mchana kunywa tu juisi ya ukwaju vikombe uwezavyo, kuanzia angalau 2 unashushia na bite 2 au tatu.
Pia kimbia kimbia ukiweza.
 
Pamoja.
Ila uzi wa kitambo, bado una kitambi?
Eee kipindi kile hata sikuwa siriaz maana ndio nilikuwa nimetoka shule sasa nikaona mwili unakujakuja japo si sana nikataka niudhibiti ila sikutilia maanani sana sasa hivi ndio nimeamua nilipungue maana mmmhh...
 
Mama watoto diet special mm ninayo, ndsni ya mwezi mmoja mm nimepungua kilo 9.

Njoo nikisaidie upungue mama watoto
 
Hebu niambie hiyo diet jamani...
Kwanza kabisa nafanya sana mazoezi, nakimbia 3km go and back kila Cku.....naogelea Dk 45 kila Cku!

Nimeacha kabisa kunywa pombe, nimeacha kutumia sukari kwny chai, nimeacha Kula red meat..

Nakula kitu chochote kwa sababu mwili unahitaji, sili kwa sababu napenda ladha ya kitu fulani....

Nakula Mara mbili kwa siku. (Kipindi hiki cha kwaresima nakula once in 24 hrs, Nikila saa 12 jioni hadi kesho tena mda km huo.


Hebu jaribu kufanya hayo ninayofanya mm utaona changes ndani ya mda mfupi sana
 
Maomba kujua, pork ni red meat au laa!
H
 
Safi sana baba watoto kumbe unafunga... Vitu ulivyotaja vinatekelezeka ila zoezi saaasa...
 
Yeah nafunga though kufunga duo lazima kuwaambia watu, but only because I want to help u reduce your body.

Tungekuwa Karibu ungepungua fasta sana
Haya baba watoto nitajatibu hiyo diet yako
 
Haya baba watoto nitajatibu hiyo diet yako
Adui number moja wa wanawake kufanya wawe na matumbo ni pombe.

Km unakunywa fanya maamuzi magumu ya kuacha mama watoto.

Ila pia jaribu kuweka kitu chochote mdomoni kwa sababu mwili unahitaji na sio sababu ni Kitamu mdomoni.
 
Adui number moja wa wanawake kufanya wawe na matumbo ni pombe.

Km unakunywa fanya maamuzi magumu ya kuacha mama watoto.

Ila pia jaribu kuweka kitu chochote mdomoni kwa sababu mwili unahitaji na sio sababu ni Kitamu mdomoni.
Pombe sinywi baby...ubwabwa tu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…