Mimi nafanya mazoezi asubuhi na jioni, nakunywa na maji ya vuguvugu kila niwezapo, sifanyi diet yoyote nakula chochote nitakachopata matunda yenyew naweza nikapitisha wiki sijakula lakini naliona tumbo linapungua,fanya mazoezi tu na unywe maji ya vuguvugu inatosha

Nimesikia diet ya maji vuguvugu, mdalasin na asali, inafanywaje hyo?
Kwa anayefahamu naomba anifafanulie tafadhal
Huo mdalasin mf ninaweza
nikaweka kijiko kidogo cha chai? Na hyo asal kiasi gan? Kwenye maji
ya ujazo upi? Na baada ya kunywa hayo maji asubuh, unakaa muda gan
ndio uweze kula chakula/ chai???
Ni hivyo tu hakuna makorokocho mengine?
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi?
Maana diet nyingi utasikia
'Asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.
Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Nimesikia diet ya maji vuguvugu, mdalasin na asali, inafanywaje hyo?
Kwa anayefahamu naomba anifafanulie tafadhal