Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,409
119,014
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
 
Mimi nafanya mazoezi asubuhi na jioni, nakunywa na maji ya vuguvugu kila niwezapo, sifanyi diet yoyote nakula chochote nitakachopata matunda yenyew naweza nikapitisha wiki sijakula lakini naliona tumbo linapungua,fanya mazoezi tu na unywe maji ya vuguvugu inatosha
 
Ni kweli kbsa maji ya vuguvugu yanasaidia sana na results unaziona kbsa. Mimi nilishawahi kutumia maji vuguvugu na nikapungua kwa kweli.
 
Mimi nafanya mazoezi asubuhi na jioni, nakunywa na maji ya vuguvugu kila niwezapo, sifanyi diet yoyote nakula chochote nitakachopata matunda yenyew naweza nikapitisha wiki sijakula lakini naliona tumbo linapungua,fanya mazoezi tu na unywe maji ya vuguvugu inatosha

Ngoja tujaribu hayo maji lol
 
Nimesikia diet ya maji vuguvugu, mdalasin na asali, inafanywaje hyo?
Kwa anayefahamu naomba anifafanulie tafadhal
 
Nimesikia diet ya maji vuguvugu, mdalasin na asali, inafanywaje hyo?
Kwa anayefahamu naomba anifafanulie tafadhal

Unachanganya mdalasini na asali kwenye maji ya vuguvugu unakunywa asubuhi kabla hujala na usiku muda wa kulala, ila niliambiwa ukiweka mdalasini mwingi unashusha presha.
 
Unachanganya mdalasini na asali kwenye maji ya vuguvugu unakunywa asubuhi kabla hujala na usiku muda wa kulala, ila niliambiwa ukiweka mdalasini mwingi unashusha presha.

Ni hivyo tu hakuna makorokocho mengine?
 
Huo mdalasin mf ninaweza nikaweka kijiko kidogo cha chai? Na hyo asal kiasi gan? Kwenye maji ya ujazo upi? Na baada ya kunywa hayo maji asubuh, unakaa muda gan ndio uweze kula chakula/ chai???
 
Huo mdalasin mf ninaweza
nikaweka kijiko kidogo cha chai? Na hyo asal kiasi gan? Kwenye maji
ya ujazo upi? Na baada ya kunywa hayo maji asubuh, unakaa muda gan
ndio uweze kula chakula/ chai???

Fanya kikombe kimoja cha maji ya vuguvugu asali kijiko cha chakula n mdalasini kijiko cha chai,unaweza kukaa hata nusu saa tu au saa nzima,ila mimi sijawahi kutumia sababu nina low pressure nimeelekezwa tu.
 
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi?
Maana diet nyingi utasikia
'Asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.
Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
1972448_656020011102363_36718670_n.jpg
 
Diet nzur n kupunguza chakula hasa cha usiku kama unaweza kula matunda na mboga za majan usiku pamoja na maji au juice ila chondochonde punguza vyakula vya maguta ikiwemo nazi na nyama nyama mchana kula chakula wastan asubuhi kunywa chai tupu au kitu kingn ila sio kiporo
 
Nimesikia diet ya maji vuguvugu, mdalasin na asali, inafanywaje hyo?
Kwa anayefahamu naomba anifafanulie tafadhal

Chukua mdalasini chemsha na maji then ukishakolea epua na subiri upoe kidogo weka asali kunywa unaweza weka na kahawa kuongeza msukumo wa damu...
Mnyambulisho....
1. Mdalasini huu utumika kuongeza speed ya digestion mwilini so chakula kinakua hakikai sana mwilini kinasepa....hii ukufanya kusikia njaa...
2. Asali hii hufanya mwili kuwa na glucose nyingi hvyo kuwa na nguvu na kutosikia njaa hata baada ya mdalasini kufanya yake tumboni....
3. Maji ya moto yanacreate ile digestion temperature mwilini hvyo kuweka mwili katika umeng'enywaji wa chakula cha ziada mwilini kama fat na mengineyo kuwa active all the time...
Sasa chukua mchanganyiko huo tumia na utaona kazi yake....
Hizo ndio akili zangu finyu zilivyonieleza kila kazi ya mchanganyiko huo baada ya kuvitumia na mwisho nikaona why nisijaribu kimojakimoja kuona ufanyaji wake kazi mwisho nkaja na conclusion hyo ya kizembe.....labda wataalamu waje watudadavulie zaidi...
Ila cha kuongeza lazima uwe mtu wa mazoezi kiasi sio unakaa kwenye gari muda wote utegemee kitambi kisepe....

Nawasilisha....
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom