Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

Mr Rich

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
34
Reaction score
48
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile ilimradi ni ya serikali nitafanya.

Narudia tena LENGO LANGU ni kuingia kwenye MFUMO WA SERIKALI WA AJIRA HIVYO KAZI YEYOTE NITAFANYA. Ofa yangu 5m
 
Form six hapo soma udereva wiki 6 ili upate leseni class C then omba kazi unapata Madereva wako wengi mtaani tatizo vyeti vya secondary ndiyo tatizo kwa hiyo hata ukiwa form four tuu rahisi kupata tena Utumishi wanatoa sana ajira za madereva
 
Mkuu boda boda za mkataba hutaki?? Maana hizo ajira za kuendesha sijui ma lendi kuluza dabo kibini kama yale ya watekaji ni kipengele na hivi maombi Yao yanapitia ajira poto🥹🥹kule kwa moto sana
 
Nitasoma mkuu ila kama kuna shortcut itakua vizuri
 
Mkuu boda boda za mkataba hutaki?? Maana hizo ajira za kuendesha sijui ma lendi kuluza dabo kibini kama yale ya watekaji ni kipengele na hivi maombi Yao yanapitia ajira poto🥹🥹kule kwa moto sana
Mkuu boda boda ninayo, ila lengo langu kubwa ni kuwa tu kwenye system ya serikali
 
Form six hapo soma udereva wiki 6 ili upate leseni class C then omba kazi unapata Madereva wako wengi mtaani tatizo vyeti vya secondary ndiyo tatizo kwa hiyo hata ukiwa form four tuu rahisi kupata tena Utumishi wanatoa sana ajira za madereva
Jamaa afuate huu ushauri maana kama elimu ni six basi kazi pekee ni udereva.
Ukimaliza udereva ongeza tena ujuzi pale NIT, baada ya hapo ajira utapata .

Tena bahati ikiwa kwako utatafutwa tukufunge kitambaa ukafanyiwe usahili sehemu vigezo vikiwepo na wewe ulambe asali , kuna sehemu dodoma wanahitaji madereva sema wewe unaonekana Bado sio mzoefu kabisa
 
Mkuu nitaenda kutafuta leseni, lakini kama kuna kazi yeyote ile ilmradi tu nakua mfanyakazi wa serikali naihitaji
 
Mdogo wangu Rich nimekuwa msaada kwa vijana wahitajio kazi njoo na 50k inbox eleza uko wap unahitaji kazi ipi tuanzie hapo njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…