Ili kutunza usafi unahitaji kuwa na CHUPI MBILI - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise Soksi. :smile-big::smile-big:
Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.
Mhhh ungekuwa wewe owner au Mod wa jamii forum basi. nadhani maoni mengi ya watu yasingepewa uhuru. Sio vizuri kupenda kupdress mawazo ya watu. Acha Thread ife naturally.3D said:Tufunge mjadala. Vaa chupi safi. Use commonsense, chupi moja yaweza kutosha au mbili au tatu. VAA CHUPI SAFI. MWISHO.
Note: vaa chupi safi kila siku
usivae chupi kabisa maana chupi ndio sababu ya fungus
niliwahi kufikiri siku za nyuma kuwa niko peke yangu kumbe tuko wengi nashukuru mdau.
ili kutunza usafi unahitaji kuwa na chupi mbili - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise soksi. :smile-big::smile-big:
Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.
Ili kutunza usafi unahitaji kuwa na CHUPI MBILI - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise Soksi. :smile-big::smile-big:
Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.
hahahahahaha elnino nibakizie mbavu zangu kama hakuna feni unafanyaje?
Hahahaha mzee kazi unazofanya zinahusiana na mambo ya bima nini?Vaa chupi safi kila siku, ili usijeaibika siku ukipata ajali...
Hii Advice ya Elinino ni kali ya mwaka ila ina ukweliFirstlady said:hahahahahaha Elnino nibakizie mbavu zangu kama hakuna feni unafanyaje?
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo
Unaweza kuongeza maswali au kutoa majibu ambayo hata sijauliza ilimradi yalenge katika kupeana uelewa katika matumizi ya vazi hili nyeti.
- Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
- Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
- Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
Nawasilisha.
ww mTAZAMAJI chupi ya nini? sijakuelewa tu ww ni demu au meni? km demu una lengo lako la kupigwa bao la CHAPU CHAPU.