Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

Achana na wazo hilo.

Njoo hapa kakola au mwime nikupe muongozo wa namna ya kupata million 60 kwa miezi 8-12 kwa mtaji wa million 10 tu.

Sihitaji hata mia mbovu yako.
Inahitaji mtu ambaye yuko tyr kujitoa kusimamia miradi yake mwenyew nakuonyesha eneo na taratibu zote.Unapambana mwenyew
Mzee tiririka kidogo tupate muongozo
 
Back
Top Bottom