Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Huo ni uonezi wa waziwazi. Nimeshaona michango mingi sana ya Faizafoxy yenye maana japo kuna wakati sikubaliani naye lakini ni mchangiaji mzuri na mwenye ufahamu wa juu pengine kukuzidi wewe.

Usipende akubali kila kituunachokipenda wewe sababu ni Faizafoxy na wewe ni ras Jeff
You are very wrong...faiza namjua vizuri...nimemprovoke...ili aandike aya zake...maana kama umesoma hapo juu vizuri....alikuwa hataki kuandika mambo mengi...
 
Zinazo chagizwa na upeo mkubwa alionao.. Yuko deep sana kwenye uchambuzi wa masuala ya kihistory.. Sometimes huwa naangalia mnyumbuliko wa hoja zake pindi anapo wajibu watu anaoshindana nao ku debate katika mijadala halafu nabaki najiulza hivi huyu anaye shindana na faiza anatoa wapi hizi guts mbona anaonekana ni mweupe sana...

Ila kitu ambacho naona kama ni udhaifu toka kwake ni kuweka mbele masuala yake ya kiimani dhidi ya dini yake mahala ambapo huwa hata hapastahiki kufanya hivyo... But ukiachana na hiyo kasoro ndogo.. Ni ukwel uliouchi kama nyeti za mbuzi kwamba huyu mama/dada ana uwezo mkubwa sana wakufikiri na wakujenga hoja
Huyu MTU lnaonekana anabusara sana
 
Hivi ndio ambavyo mimi ninaishi na kwa upande wangu huwa sioni kama kuna ambacho nimepoteza au nina poteza...

Samahani kwakujibu swali ambalo sio langu
Yaaani ni hivi.

Mfano mtu awe hataki kujihusisha na siasa kwa maana asiende kupiga kura kwa mgombea yeyote,yaani yeye akishapita kiongoz yeyote ndio wake.
Akawa hana uhudhuriaji wa kwenye kampeni yeye yuko na mambo yake.
Hana habari za siasa kabisaa hana chamaaa.

Jee mtu kuishi hivi inaweza kumletea madhara katika maisha yake ya kawaida?
 
Hivi ndio ambavyo mimi ninaishi na kwa upande wangu huwa sioni kama kuna ambacho nimepoteza au nina poteza...

Samahani kwakujibu swali ambalo sio langu
Yes mkuu usijali mkuu umejibu swali lako.

Na pia jee kwa mtazamo wako,mtu ambae hafatilii mambo ya siasa kabisaa anaweza kaa ns kuanza kuwasema viongozi ambao siasa ndo imewaweka madarakani?

Jambo ls pili,unadhani bila siasa anaweza kupatikana kiongozi wa nchi na wabunge na wateuliwa wote ikiwa sisi tumeweza kuishi bila siasa?
 
Back
Top Bottom