Nahitaji Application ya hivi naomba msaada

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Nimewahi tumia dating app moja huko zamani ilikuwa inakitu natamani nikipata kwenye application ingine..

Ilikuwa kama kuna member wa hiyo site near you inakupa alert. Au ume bump na mtu eneo moja.

Inakwambia fulani yupo karibu na wewe right now. Au mko eneo moja...

Nimetamani kama kuna application inayokupa info za contact ulizonazo Kwa simu Kwa style hiyo.

Anyone mwenye idea?
 
Hiiiiiiii baghosha abha bamitandao bhalenamihayo getegete.. Nene nakasota,nakasota ngalo.. bhakanwinaga elitoto lele na miso! Layombaga Lele nilove ango onene!
Nene naliwelagi sawa ngalo twende Sasa!!
Hiiiiiiii baghosha.. elitoto bhayombaga bha mutu bha mujini "kiuno feni" hiiiiiiii Lele zungusha getegete! Nene nakala Kona lolo natenahela bhangening'ang'ania bhale madada
 
Mico ilikuaga poa sana...nilipata wife pale baruti

Najua ni je ya mada lakini umecheki avatar yangu?
 
Ikoje hiyo mico
Ilikuwa kama kuna member wa hiyo site near you inakupa alert. Au ume bump na mtu eneo moja.

Inakwambia fulani yupo karibu na wewe right now. Au mko eneo moja...

Sema ilikuwaga ina rangi flan ya orange baadae ilikuja kupotea playstore ikarudi ya bluu ikakuta wabongo washahamia badoo wote

Najua ni je ya mada lakini umecheki avatar yangu?
 
Back
Top Bottom