Nahisi sina bahati

Nahisi sina bahati

Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice

Dawa ipo ukihitaji ni pm
 
MUngu ana makusudi yake Destinylady mpenzi wako wa kweli yu njiani anakuja

Yaani mtu ajiachie hovyo hovyo kwa wanaume halafu mseme "Mungu ana makusudi yake...." mungu gani huyo mnaemsema....!? Acheni hizo tulizeni hivyo vipochi manyoya vyenu muone kama hamjapata watu wenye busara zao. Tatizo mnajidanganya kumu-win mwanaume ni kumvulia chupi, wengine hatuko hivyo, ukinivulia kirahisi rahisi thamani yako inashuka, na kama nilikuwa na malengi flani, nayafuta. By the way, kwani usipofanya hayo mambo unakufa......!?
 
Last edited by a moderator:

sawa greatthinker!
 
Hapa kusema tatizo lako ni kitu fulani na tukupe ushauri SI RAHISI kama unavodhani. Maana ni ishu ya mwenendo,muonekano wako wa nje na ndani hivyo kwa ushauri labda waone watu wa JIRANI na mazingira yako wanaokufahamu na Unaowaamini na si jf
mzee umetisha, huu ushauri ni mzuri
 
Inawezekana una tabia za kumfurahisha kila mtu
ili uonekane huna makuu
watu wengi hawapendi 'watu ambao ni pleaser kupita kiasi'
ni dalili za unafiki na dalili za kutokuwa na msimamo na umalaya pia.....

Jifunze to be your self...watu watakupenda na mume utapata
 
Asante kwa huu ushauri....
 
jichunguze tena dada yangu.....kuna mahali unakosea,,, wala sio kitandani,,, review the 2 last relation u had, bila papara na pia uliyepangiwa bado hajakufikia,,, jipe moyo jiamini.... mbona uko bomba sana.....malizia mwenyewe
 
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice

Nipe namba yako
 
Pole, kubwa zaidi kwako baada ya kusifiwa we ni mrembo sana, unaonekana ni mtu wa kuchagua sana. Wanaume unaowachagua kwa kuzani utambeba yeyote kwa urembo wako unajidanganya tu. We tulia jione ni mwanamke wa kawaida tu, hata si mrembo then rekebisha tabiaa na mitoko yako, nakuhakikishia utampata wa kudumu. Hakuna uchawi hapo. Kumbuka Mgema akisifiwa..........
 
Niliwahi pendwa na mdada kama wewe, she is really beautiful, she still loving me! Kinacho niboa ni kunitajia msururu wawatu wanao mtongoza, na namna anavyo gawa namba yake ya simu kwa ma strangers na kunisimulia ma x wake...
Jaribu ku review kama unamoja ya hizo tabia tajwa hapo juu ...zi fute maramoja

Wanaume tuwa kimya tuna evalute na kuacha kimya kimya...
 
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice

Sababu yaweza kuwa kati ya zifuatazo;
  • Unajirahisisha sana kwa hao unaokuwa na mahusiano nao. Namaanisha unatongozwa leo wiki haiishi unamuachia kila kitu, trust me mahusiano hayatadumu.
  • Kuna tabia mbaya ambayo unayo na hujijui kama unayo
  • Kwa urembo wako ulionao wanaume wanakuona we wakupita tu. I mean mtu anaona akikuoa utampa pressure tu maana kila mtu atakupenda
 
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Kujua watu wengine wana kutizama vipi kunaweza kusaidia kupata jibu la swali lako. Ni vigumu sana kwa mtu hasiyekufahamu vizuri kukupa jibu sahihi la tatizo lako.Njia bora zaidi ya kupata majibu ya swali lako ni kushughurikia mapungufu au malalamiko yaliyosababisha mahusiano yako yaliyopita kuvunjika. Siamini kuwa mahusiano yanavunjika tu ghafla bila hata kuelezana sababu au bila kuwa na ugomvi au malalamiko kabla ya kuvunjika.

Pili unatakiwa kujiamini, inawezekana unakuwa na hofu unapoanzisha mahusiano mapya ukiogopa kuwa yatavunjika kama yale ya kwanza! Khali hii upelekea wewe kuishi kwa kuigiza ukiogopa mahusiano kuvunjika, mwenzako anapogundua hivyo anapoteza imani na wewe akiamini kuna mengine mengi umemdanganya!
 
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice

Labda unapenda usipopendwa .............. Penda unapopendwa hiyo ndio siri ya kudumu katika mahusiano yoyote
 
habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice

nyota *
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom