Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,791
- 182,965
Labda unapenda usipopendwa .............. Penda unapopendwa hiyo ndio siri ya kudumu katika mahusiano yoyote
Kupenda unapopendwa napo ni shughuli!! Unajikuta unahangaikaaaa na yule asokupenda maana wewe ndio umependa, kule unakopendwa hata ukijilazimisha inashindikana, duuuh haya mapenzi acheni tu!