Nahisi sina bahati

Nahisi sina bahati

Yani mamy nadhani mapenzi ni zaidi ya urembo na ucheshi kama mimi hta mtu anisifie vipi kuwa mimi ni mzuri huwa sifanyi mjumuisho mana inawezekana hao wanaokusifia mbele ya macho yao ni mzuri lakini wengine wanakuona wa kawaida anyway kuwa kwenye mapenzi thabiti yanahitaji zaidi ya urembo na ucheshi na mwisho wala usijali bado hujakutana na mtu sahihi kwako
 
desrtnylady hiv pm kwako zinaruhusiwa? kama ndio embu ni pm tulijadili swala lako in serius mode!
 
Fanya self monitoring and evaluation, review past men uliowahi kudate nao!!
Consider your attitudes and personalities!!!
Angalia aina na sample ulizowahi date nazo!!
Andaa report ndogo yako binafsi kama kautafiti then tulia taratiibu uweke vigezo kiasi vya MTU unaehisi mtaendana!!!
Yeyte utakaebahatika kumpata saiv mtreat positively!!!
 
nimejaribu hizo njia zote lakini wapi
 
I got an idea of you!!!
Unapenda kudate Kwa kuangalia vitu
May be unaangalia pesa Kwa boy
Au hadhi flani
Unajiona mrembo so unajiona uko level flani ya juu
So if a man knows your love is based on money or pride..atakuchezea tu
 
Fanya self monitoring and evaluation, review past men uliowahi kudate nao!!
Consider your attitudes and personalities!!!
Angalia aina na sample ulizowahi date nazo!!
Andaa report ndogo yako binafsi kama kautafiti then tulia taratiibu uweke vigezo kiasi vya MTU unaehisi mtaendana!!!
Yeyte utakaebahatika kumpata saiv mtreat positively!!!

Mkuu naona umeaply desa kama lilivyo
 
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo?

Kama unamaanisha pole, manake ulivyoongea kwa huruma loh!!
 
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice

It's too early to give up, take ur time atatokea wako atakayekufaa....wanaotokea wote kwasasa Mungu kaona hawakufai anakuandalia mume wa maisha yako atakayekufaa kwa kila kitu atakayekuwa faraja yako na furaha yako ya kweli
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom