mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
mi ngoja nianze kukupenda diva beyonce
Ila Diva Beyonce naye yuko vizuri kwa mtu serious anayehitaji mke, shida yenu vijana mnataka kuchovya tu na kukimbia
Last edited by a moderator:
mi ngoja nianze kukupenda diva beyonce
Aaah we nae kila siku wauza tu hununui?Nauza sumu ya panya,mende,viroboto,kunguni,dawa ya mba na mapunye.....
Kumbe nyota nayo ni usafiri
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Na wanaume wengi unakuta wako after sexual tu wakiwa na haja zao wana act utakatifu. Bora wanaume ka hawana future na mtu waseme wanajichumia milaana ya ajabu tu bure.
Na imagine huyu dada atakua Ali fall asilimia zote kumbe ze guy alikua anamtumia tu. Na wanaume wengi hawajui kuwa mambo yao mengi hayafanikiwi kimaisha simply kwa kuchezea wanawake.
In my life nilishaapa kutokupenda labda mwanaume ndo awe ananipenda basi.
Habarini wandugu.
Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu.
Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali. Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo?
Its serious problem i need help of advice
Pole kipenz wanaume ndivo walivo vumilia utapata chaguo lako, maana nikikusimulia unaweza lia na uckae ukapenda teeena mwanaume