Nahisi sina bahati

Nahisi sina bahati

my pleasure Heaven Sent, nina uhakika yaliyomo yamo...
hata kama hayamo, you have what it takes to be someone's wife. Nina uhakika PM yako iko busy sana.

Hahahha na wewe kuwa gentle basi leo. Mdomo wangu umeishiwa maneno leo teh
 
Last edited by a moderator:
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Tatizo liko hapooooooo!
 
Mimi ninawasiwasi na ujuzi wake panapo sita kwa sita. Amechezwa unyago.?kama bado basis ajaribu.
 
Na wanaume wengi unakuta wako after sexual tu wakiwa na haja zao wana act utakatifu. Bora wanaume ka hawana future na mtu waseme wanajichumia milaana ya ajabu tu bure.
Na imagine huyu dada atakua Ali fall asilimia zote kumbe ze guy alikua anamtumia tu. Na wanaume wengi hawajui kuwa mambo yao mengi hayafanikiwi kimaisha simply kwa kuchezea wanawake.
In my life nilishaapa kutokupenda labda mwanaume ndo awe ananipenda basi.

Ni kweli mkuu. Halafu nahisi kitu ambacho nilikuwa sikielewi deeply ni kuwa mwanaume akimpenda mwanamke kwa dhati mahusiano yanadumu sana! Lakini mwanamke kufanya we ndo unajua kupeenda utaumia sana tena sana, let man loves you utaenjoy life asee!
 
Nakubaliana nawe Wit kwa upande mmoja lakini mimi kwa uzoefu wangu naona ni kama kila hisia ya mapenzi inajitegemea bila kujali jinsia na Mara nyingi makuzi yanachangia sana
Kwa mfano ukikutana na mtu ambaye kwao ni wengi halafu yeye ni kitinda mimba halafu aathiriwe na hiyo hali ya kuwa kifunga mimba bila kujali jinsia yake mapenzi yatakuwa ni mateso kwa yeyote atakayekuwa na mahusiano naye
Hii inatokana na kuwa tangu utotoni amezoeshwa kutumikiwa na kufanyiwa kila kitu
Lakini kwa mfano ukikutana na mtu bila kujali jinsia yake ambaye tangu utotoni amekuzwa akihudumia basi yeyote atakayeingia kwenye mahusiano na mtu wa namna hiyo ataenjoy
 
I'm short of words aisee. Hujui tu nilivyojisikia,.. It means a lot to me. Thank you so much, u have honored me.

N:B kumbe physical appearance inahusika sana kwako Hahaha

Usijali mkuu, you deserve it

Yaa physical appearance muhimu sana mkuu, siyo kwangu tu, ni ugonjwa wa wote waume kwa wanawake. Kuna wanaopenda wembamba, wanene, wafupi, warefu, wastani, weupe, weusi, maji ya kunde, wenye udisii, sijui english figure, sijui namba 6, 8, 9 n.k ilimradi tu kila mtu na vionjo vyake
 
Na wanaume wengi unakuta wako after sexual tu wakiwa na haja zao wana act utakatifu. Bora wanaume ka hawana future na mtu waseme wanajichumia milaana ya ajabu tu bure.
Na imagine huyu dada atakua Ali fall asilimia zote kumbe ze guy alikua anamtumia tu. Na wanaume wengi hawajui kuwa mambo yao mengi hayafanikiwi kimaisha simply kwa kuchezea wanawake.
In my life nilishaapa kutokupenda labda mwanaume ndo awe ananipenda basi.

Mkuu umeongea ukweli tupu, ndo hali halisi ya wanaume kwa kweli, ndo maana hata machangu wanaendelea kupata wateja.

Hapo kwa red nimeipenda strategy yako, itakulipa in the long run
 
Ni kweli mkuu. Halafu nahisi kitu ambacho nilikuwa sikielewi deeply ni kuwa mwanaume akimpenda mwanamke kwa dhati mahusiano yanadumu sana! Lakini mwanamke kufanya we ndo unajua kupeenda utaumia sana tena sana, let man loves you utaenjoy life asee!
Ukweli mtupu yani mwanaume akikupenda mtadumu mana atakuvumilia atakupenda hata madhaifu hayaoni kamwe. Ila wale wa kuchovya chovya ndo wanawake wengi wanapoangukiaga hapo.
Ila wewe mwanamke ukijliza Liza na Ku act mapenzi ya tamthilia ya kifilipino lazma ile kwako.
 
Mimi ninawasiwasi na ujuzi wake panapo sita kwa sita. Amechezwa unyago.?kama bado basis ajaribu.
Tatizo sio ujuzi bado hajapata chaguo sahihi la kumu fit na wanaume wanamtumia kwa vile inaonyesha ana hamu ya ndoa. Mleta mada kuwa na subira Muweza wa yote atakupa wa kufanana nawe,kila jambo na wakati wake,na majira yake.
 
mito, kama upo single na unahitaji mtu, I'd recommend this lady. Wengine huo mlango tulishafunga kwa hiyo tunawaonyesha wenzetu ambao bado kuingia huko.

Mkuu Eli79 kumbe hukunisoma vizuri, mi mwenyewe mlango ulishafungwa mkuu, nimemuonyesha mkuu bab-D naona naye yuko kimy tu hatokei

Ila ni kweli huyu mdada yuko vizuri upstairs tuache utani, anamtazamo wa ki-wife material kabisaaa!!
 
Last edited by a moderator:
confirmatory test:
Waulize hao waliokuacha sababu ilikuwa nini ila ujue kuachwa kupo hata sie men huwa tunabwagwa sometimes.mi yalishanikuta nikakataliwa tena vibaya ila hainichukui muda kurudi tena kwenye reli.Kikubwa mshirikishe Mungu.
 
Suala la usafi vipi?

Maana isije kuwa uko busy na kujisiliba makeups tu usoni lakini kwa bibi kunatema balaa.

Usafi vipi bibie maanake mko so complicated huko chini kitu ambacho ni ngumu kuvumilika kama kunatema.
 
Mkuu umeongea ukweli tupu, ndo hali halisi ya wanaume kwa kweli, ndo maana hata machangu wanaendelea kupata wateja.

Hapo kwa red nimeipenda strategy yako, itakulipa in the long run
Wanaume si kiumbe kwa kumwamini asilimia zote ingawa kila binadamu ana mapungufu yake. Mwanaume anaweza kutelekeza familia kisa michepuko asikumbe lakini wanawake wakakumbuka.
Hii kitu imewahi kunitokea na kwa marafiki ukipenda mwanaume chance ya kulizwa kubwa,ila akikupenda uta enjoy sana. Na hawezi kukuumiza anakua muwazi.
In nature mwanaume ndo anatakiwa kupenda sema wanawake huwa tunakwepa watupendao na kuangukia kwa wasio na mapenzi. In short kwa wadaganyaji.
 
Exactly mkuu
 
mi ngoja nianze kukupenda diva beyonce
 
inaonekana wewe ni mrembo/mzuri sana!!.....ukiwa mrembo sana ni ngumu kupata mtu(man) wa kudumu kwani kila mtu anaogopa kuwa atanyanganywa kirahisi au ni rahisi wewe kuwa na michepuko mingi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom