chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,540
- 2,683
mmh sifa zote izo bdo unakimbiwa? labda tatzo itakuwa kwenye papuchi, mana zngne zna sura kama...
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Usitafute mchawi, u ar dating the wrong person ndo maana
Umemaliza Kila kitu. Ukiwa na the wrong person hata ufanye kizuri kipi, atakiona ila ataondoka tu. Mind you sio Kwamba he is a bad guy ndo maana amempotezea, ni kwa sababu pia she is not the right person for him. So wataachana tu as long as Kila mmoja wao sio mtu sahihi kwa mwenzie
Unaonekana unabusara sana, siku ukimpata shemeji yangu niunganishe nae nimjaze imani na mazuri yako
Sio kama mara zote wewe ndo unakuwa na tatizo. Most of the time, good girls end up with bad boys, and good boys chase after bad girls. Usiogope, ipo siku yatakwisha tu
Amen, tuombe hivyo. Kama busara Zipo ataziona tu hata pasipo kusimuliwa na mtu, matendo yanatosha. Ila nashukuru sana
na harufu yako ya mwili ya asili iko poa tu??! manake kuna wengine asipojipulizia madude yenu yale anakua na changamoto ya harufu kama beberu ama m.avi ya kuku flani sasa hii hua inazuia mtu kuwekeza maisha yake kwako kiukwel hata uwe mzur vipi
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Mh huu ni ushauri au kejeri? kama ana hali hiyo afanyeje? ww sijui umetoka wapi au ni >20?
nmeipenda hii!!Sio kama mara zote wewe ndo unakuwa na tatizo. Most of the time, good girls end up with bad boys, and good boys chase after bad girls. Usiogope, ipo siku yatakwisha tu
nmeipenda hii!!
Shukraan daku nini leo Papupi?Karibu daku
Wali na nyama roast, karibu sanaaaa