Nahisi simpendi mke wangu


yaani mkuu nimesoma nikasisimkaa.ivi bado wanaume wa ivi wapo tena una elim yako?mama ako mzaz yupo??....

natamani nikuone ivi face to face nikuhamishe apo hom fastaaa...yaani amefungwa na pepo baya la uyo mwanamke..mi ningeua haki ya munguuu....ilo ni ibilisiii kaka achaaa uyo mwanamke leo jioni hii km hautaki andika urithi sasa ivi
 

toka hapa
 
 


kaka mimi ni mwanandoa mwezio.nakushauri mpe break uyo mwanamke...hama mkoa kabisa beba toto zako peleka boarding...sidhani ht kama watoto wanaenjoy mapenz ya uyo mama...isitoshe wakiume watacoup tu.....mradi ela ipo...naomba tena mwache uyo mwanamke LEO na utupe feedback
 

watu sampuli yako ndi husababisha waTZ tuendelee kuonekana maBw.ege miaka hadi miaka.....
we mpaka mtu afe ndo ujue kuna tatizo hapo? haya mambo mengine YESU anapenda kuona tunayatatua wenyewe....sio kila kitu tumuachie yeye....
After all hapa sio kanisani,ya kaisari mpe kaisari,ya mungu mpe mungu....!!

TUMSIFU YESU KRISTU
 
Kwanza huyu hakumuoa huyo mwanamke ni sawa kabisa kuwa walikuwa wanazini hiyo miaka yote kumi Mungu hatambui kama hiyo ni ndoa labda kama walikiri na kuweka viapo vyao binafsi .
Mwanamke mwiba kama huyu atamkosesha mbingu kaka wa watu maana kwanza anaonekana anatumiwa na Ibilisi cha muhimu ni kuanza maisha upya basi.
Kaka asikilize moyo wake tutaongea lakini mwisho wa siku amani ya moyo wake ndio itaamua
 
 
Last edited by a moderator:
Jamii unayoizungumzia hapa ni ipi?!!! Jamii ya bongo haijawahi kumlaumu mwanaume kwa kumwacha mwanamke. Sana sana atatafutiwa mke mwingne fasta.
 
Unamsingizia YESU, kwani furaha ya mtu lazima iwe mikononi mwa mtu? Anaweza peke yake kabisa akajenga maisha anayotaka. Maana yangu ya kutohusisha kadhia hizi na mambo ya dini ni kuepuka kuji tangle kwenye web nyingine. This guy needs true salvation and it has to come from within sio katika illusions za watu wengine, once aki attain such freedom (with Jesus's help ofcoz) he can do whatever, hell, he can even walk on water! (pun intended)
 

watu wengine mpaka yawakute ndo wanajifunza
Yaani huyu jamaa anataka afe kwanza ndo ajifunze...

#Ridiculous
 

Eliza...

I am genuinely together with u....
kuna watu wanataka kumgeuza YESU kichaka cha hata kutetea ujinga uliopo wazi...
Yaani ni kama CCM wanavyopiga kodi yetu pale BUNGE LA KATIBA huku wakijua kabisa hawawezi kupat hiyo katiba....afu ajitokeze kiumbe aseme eti........TUMUACHIE MUNGU.....are serious guys?? eti YESU anaona....
 
ndio shida yakumpendea mwanamke shepu hiyo... mnapoamua kuchagua mwanamwali wakuoa mnakimbiliaga makalio na sura mnajua ndio mmepata sasa acha akunyooshe, watoto wazuri wenye akili timamu wapo hamuwaoi kisa hana ---- sasa impact yake ndio hiyo, sikuonei huruma hata tone endelea kukomesheka hadi upate dipresheni nakuongea pekeyako
 

Mkuu Sangarara, unaweza kupita hapa ukamshauri huyu ndugu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo miaka yote kumi hujamuoa huyo mwanamke???? Ndio maana ana frustration
 
Jamii unayoizungumzia hapa ni ipi?!!! Jamii ya bongo haijawahi kumlaumu mwanaume kwa kumwacha mwanamke. Sana sana atatafutiwa mke mwingne fasta.

huwa wanalaumiwa sema haiwi direct attack kama mwanamke akifanya..... kiukweli jamaa afanye maamuzi magumu
 
Ndugu yangu sema na moyo wako, km kweli wewe sio chanzo cha migogoro yenu, chukua uamuzi mapema usije ukafa siku si zako, ndoa ni utata haswa unapo fall to a wrong pertiner expect a bundle of stress, kina mama Rwakatale wana jua hilo japo ni washauri wa ndoa zetu.
 
Ni maajabu kwakweli bad enough wanataka na wengine wawe na retarded mindset kama yao
 

Hakika kuna wanaume wavumilivu, huwa tunasema wanawake ni wavumilivu ila na wewe ni mwanaume mvumilivu.

"Hakuna mahali utakapoipata furaha, zaidi ya furaha itokayo moyoni mwako"

Kazi ni kwako!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…