Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Tafuta movie hizi;
•Papillon
•The Revenant
•Hours
•Buried

Uone watu wanavyopambania uhai hadi tone la mwisho na wanatoboa.
"Never loose hope"
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.

siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭

kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Kama mtaalam wa hizi kazi niambie mambo yafuatayo nikutibu fasta

Unalala saa ngapi
Je simu yako unatumia muda gani kwa siku
 
kiuchumi siwezi kusema nina tatizo kihivyo kwani nina jishughulisha... japo sina kipato kikubwa cha kumsaidia mwingine ila nina uwezo wa kula milo mitatu...!

kwakweli sielewi kwanini nimewaza hivyo...!​
pole basi tatizo lako liko kisaikolojia zaidi mwombe Mungu akusaidie au waweza kwenda kwa watalaamu wa saikolojia uwaeleze watakusaidia kwani kila mwanadamu ana shida anazopitia bali wanajitia nguvu na kusonga mbele hivyo be strong na onana na hao watalamu
 
Kama mtaalam wa hizi kazi niambie mambo yafuatayo nikutibu fasta

Unalala saa ngapi
Je simu yako unatumia muda gani kwa siku
simu yangu nakuwa nayo muda wote... kulala yangu haina utaratibu maalum muda mwingine saa 6 usiku... muda mwingine nalala mapema sana saa 2 tu nipo kitandani...

usingizi ni kitu sikipendi​
 
Ndio zinaharibu circadian clock....biological clock kisa inaleta chronic insomania after fews years mtu anakuwa depression kali kama lizombie flan.....
duu unatushauri nn sisi ambao hasa mm huwa nakuwa na kazi nyingi mpaka usiku sana sipati usingizi wa kutosha na naamka alfajiri sana kuwahi job nifanyeje mkuu kwa hasa hupande huu wa kupata usingizi
 
duu unatushauri nn sisi ambao hasa mm huwa nakuwa na kazi nyingi mpaka usiku sana sipati usingizi wa kutosha na naamka alfajiri sana kuwahi job nifanyeje mkuu kwa hasa hupande huu wa kupata usingizi
Ikifika saa nne au tano usiku usitumie kitu chochote kinachotoa blue rays ...yaani simu computer na tv ....

Lala zako kila siku muda ule ule after sometimes kama week tatu hizo dalili na hofu za magonjwa akili huondoka automatic.....
 
asante nitajitahidi 🙏 kufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
asante sana ngoja nilifanyie kazi nadhani itanisaidia asante sana
 
asante nitajitahidi 🙏 kufanyia kazi ushauri wako mkuu
Ukishindwa tumia antidepressants nenda kwa doctor akuandike make sure unamweleza vizuri akupe antidepressants nzuri zingene huwa zinaharibu kabisa....tumia.kwa week nne au tatu...kisha lala muda mmoja fanya mazoezi ....kila kitu kitarudi normal.... inaonesha una chronic insomania tu ....inaleta hiyo hali sio issue sana
 
Unataka ukufe halafu nani atanip.... kiny.... wewee!

Jikaze nigga, kwa kwelii maisha yana changamoto nyingi, na kuzishinda ndio tunu ya kuishi.

Mimi sikwambii pole, nakwambia ujikaze haswa! Changamoto zinaweza kuwa nzito kweli kweli, bila kujikaza ni noma.

Yale matarajio uliyojiwekea achana nayo, ishi kulingana na ukipatacho sasa, utaepuka majuto na misononeko na utakuwa na furaha ajabu.

Usife baba tamu wangu jamani, mie kinyeo kinakusubiri...
🥰😭🥰😭 yamenifika shingoni... ila worry out let's me pull up my socks
 
Ukishindwa tumia antidepressants nenda kwa doctor akuandike make sure unamweleza vizuri akupe antidepressants nzuri zingene huwa zinaharibu kabisa....tumia.kwa week nne au tatu...kisha lala muda mmoja fanya mazoezi ....kila kitu kitarudi normal.... inaonesha una chronic insomania tu ....inaleta hiyo hali sio issue sana
SAWA kiongozi nitajitahidi 🙏
 
Kazi ipo..hii imekua kazeze...
Mtu hana miguu hana mikono anaburuta makalio lakini yupo anaishi kwa matumaini..mzima,una mikono na miguu una fani una familia unawaza ujinga...acha huo upuuzi..kaza mwanaume hao wtt mnataka wabaki na nani?
 
Acha fikra mbaya mkuu, Mimi mwenzio bado nadunda mtaani, ningekukabidhi kichwa changu ukayaona niliyonayo mimi ungejijua tu kama wewe bado sio failure, kuna watu tumevurugwa kuopindukia na bado tuna survive wewe kwanini uanze kuwaza mambo ya ovyo?
 
Back
Top Bottom